Tatizo watu kila kitu Nyerere au CCM, Mkitaka kujuwa haswa ukweli wa Yanga mie si mshabiki wa Yanga ila kamtafuteni Familia ya Mzee Mangara ndio utajuwa mzizi wa Yanga ulianzia wapi? na Nyuma kabisa ya kuhusu CCM japo wengi wana Link na CCM, na hapo utapopata Stori za Mangara ndio utaona na Bakharesa anavyoingia kwenye Stori kuhusu utajiri wake alivyoupata.... na Pan African ilivyoundwa kila kitu hapo. mpaka makaratasi mtaoneshwa, haya ni sawa na Serikali na watu wafataji mkumbo wanapoanzia kila kitu kwa Nyerere na Kumfunika ukweli wa Bibi Titi. nimependa maelezo ya Juu Kabisa kuhusu Yanga. Nchi yetu inaaibisha tunapoingiza Siasa Rangi na Dini kwenye hizi Timu zetu tukileta Utani wa Ushabiki, Sio vibaya utani wa ushabiki ila Mengine kama Haya ya Siasa haswa ndio yanarudisha nyuma zetu.