Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Uwiii. Simu yangu haina Camera Mtani ningekupigia uone nyungu nilivyoiandaa hapa [emoji85][emoji85] yaani hapa namalizia kupika futari niinjike kisha baadae nijifukize. [emoji28][emoji28][emoji28]

Mwaka huu lazima watu wawe waganga wa kienyeji[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni hatari sana ila kwa sababu ni vichwa vya hawa ndugu zetu kwa jinsi vilivyo hata hiyo hatari haviwezi iona ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia APP yetu Rasmi; "TWENZETU KWENYE MABADILIKO" Ndio kauli mbiu yetu kuelekea kwenye mabadiliko na utiaji saini wa makubaliano baina ya YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB " The Citizen Team" na La Liga. Kampeni itazinduliwa rasmi kesho ili kutuweka wananchi ktk mkao wa kula juu ya utiaji wa saini ya ushirikiano wa taasisi hizi mbili kubwa duniani huku wengine wakikodoa tu macho na kumeza dawa za usingizi ili wasione ila ndo hivyo Azam hawana adabu itabidi warushe tu. Mnyero United kaa kwenye TV yako kesho usikie Wananchi wana jambo lao[emoji4][emoji40]. Mana kwa jazba mlizo nazo mnaweza kutupa hata barakoa zenu na mkanywa Sanitizer zenu[emoji1529][emoji1529]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niongezee tu Mkuu muda ni kuanzia saa tano asubuhi au kwa wasioelewa ni11:00hrs. πŸ˜…
 
Mnyero United kaa kwenye TV yako kesho usikie Wananchi wana jambo lao[emoji4][emoji40]. Mana kwa jazba mlizo nazo mnaweza kutupa hata barakoa zenu na mkanywa Sanitizer zenu[emoji1529][emoji1529]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni nani hadi nisikazie Mkuu. πŸ˜‚πŸ˜‚ NAKAZIIIA.

#Mnyero FC
#Barakoa FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…