Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Uwiii. Simu yangu haina Camera Mtani ningekupigia uone nyungu nilivyoiandaa hapa [emoji85][emoji85] yaani hapa namalizia kupika futari niinjike kisha baadae nijifukize. [emoji28][emoji28][emoji28]

Mwaka huu lazima watu wawe waganga wa kienyeji[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hawa ni Barakoa Fc tu kwa sasa. Haiwezekani ugonjwa unaisha halafu ndio wanasambaza vitambaa. [emoji28][emoji28][emoji28]

Mana baada ya kuuza sanitizer weee mwishowe ndio kaona agawie watu vitambaa ambapo wengi anaowapa hata sidhani kama hizo pasi wanazo sa si hatari hiyo Mkuu. [emoji28][emoji28]
Ni hatari sana ila kwa sababu ni vichwa vya hawa ndugu zetu kwa jinsi vilivyo hata hiyo hatari haviwezi iona ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia APP yetu Rasmi; "TWENZETU KWENYE MABADILIKO" Ndio kauli mbiu yetu kuelekea kwenye mabadiliko na utiaji saini wa makubaliano baina ya YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB " The Citizen Team" na La Liga. Kampeni itazinduliwa rasmi kesho ili kutuweka wananchi ktk mkao wa kula juu ya utiaji wa saini ya ushirikiano wa taasisi hizi mbili kubwa duniani huku wengine wakikodoa tu macho na kumeza dawa za usingizi ili wasione ila ndo hivyo Azam hawana adabu itabidi warushe tu. Mnyero United kaa kwenye TV yako kesho usikie Wananchi wana jambo lao[emoji4][emoji40]. Mana kwa jazba mlizo nazo mnaweza kutupa hata barakoa zenu na mkanywa Sanitizer zenu[emoji1529][emoji1529]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia APP yetu Rasmi; "TWENZETU KWENYE MABADILIKO" Ndio kauli mbiu yetu kuelekea kwenye mabadiliko na utiaji saini wa makubaliano baina ya YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB " The Citizen Team" na La Liga. Kampeni itazinduliwa rasmi kesho ili kutuweka wananchi ktk mkao wa kula juu ya utiaji wa saini ya ushirikiano wa taasisi hizi mbili kubwa duniani huku wengine wakikodoa tu macho na kumeza dawa za usingizi ili wasione ila ndo hivyo Azam hawana adabu itabidi warushe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niongezee tu Mkuu muda ni kuanzia saa tano asubuhi au kwa wasioelewa ni11:00hrs. 😅
 
20200519_075128.jpg
 
Mnyero United kaa kwenye TV yako kesho usikie Wananchi wana jambo lao[emoji4][emoji40]. Mana kwa jazba mlizo nazo mnaweza kutupa hata barakoa zenu na mkanywa Sanitizer zenu[emoji1529][emoji1529]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni nani hadi nisikazie Mkuu. 😂😂 NAKAZIIIA.

#Mnyero FC
#Barakoa FC
 
Back
Top Bottom