Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mefurahi kukuona Mtani mi nimejaa tele aisee na nilishindwa kujificha mana kwa muhindi deille nahitajika aisee.Nashukuru Sana
Hivyo nimeshindwa kujilockdown.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mefurahi kukuona Mtani mi nimejaa tele aisee na nilishindwa kujificha mana kwa muhindi deille nahitajika aisee.Nashukuru Sana
Poa kabisa. Ahsante. Ndio tunamalizia malizia mwezi Mtukufu hivi. Salama huko?
MnatusingiziaHamtaki vya mezani ila vya miamala mnavitaka. 😅😅
Uwiii. Simu yangu haina Camera Mtani ningekupigia uone nyungu nilivyoiandaa hapa 🙈🙈 yaani hapa namalizia kupika futari niinjike kisha baadae nijifukize. 😅😅😅Kumbuka kujifukiza bado tunakupenda[emoji12]
Hivi Mtani utajisikiaje tukipangwa na nyie quarter final FA CUP mana tunajua mshatusahau? 😎Kumbuka kujifukiza bado tunakupenda[emoji12]
Duuh!! Haya unahabari ligi inarudi? [emoji41][emoji41]
Hamtaki vya mezani ila vya miamala mnavitaka. [emoji28][emoji28]
Msidhani Corona imefanya tusahau. 🤣🤣🤣Mnatusingizia
Mefurahi kukuona Mtani mi nimejaa tele aisee na nilishindwa kujificha mana kwa muhindi deille nahitajika aisee.
Hivyo nimeshindwa kujilockdown.
Uwiii. Simu yangu haina Camera Mtani ningekupigia uone nyungu nilivyoiandaa hapa [emoji85][emoji85] yaani hapa namalizia kupika futari niinjike kisha baadae nijifukize. [emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani kama mimi Weekend yangu ilikuwa inaishia kuangalia mechi za VPL. Irudi tu aisee.Bora ata ianze tupate pa kujifariji
Hivi Mtani utajisikiaje tukipangwa na nyie quarter final FA CUP mana tunajua mshatusahau? [emoji41]
Acha tu Mtani. Yote kumfukuza Corona. 🤣🤣Mwaka huu lazima watu wawe waganga wa kienyeji[emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani acha tu Mtani. Ila tunataka mechi na nyie ili mtukumbuke tena. 😅Habari zenu zimepotezwa na corona[emoji16]
Ni hatari sana ila kwa sababu ni vichwa vya hawa ndugu zetu kwa jinsi vilivyo hata hiyo hatari haviwezi iona ha ha haHawa ni Barakoa Fc tu kwa sasa. Haiwezekani ugonjwa unaisha halafu ndio wanasambaza vitambaa. [emoji28][emoji28][emoji28]
Mana baada ya kuuza sanitizer weee mwishowe ndio kaona agawie watu vitambaa ambapo wengi anaowapa hata sidhani kama hizo pasi wanazo sa si hatari hiyo Mkuu. [emoji28][emoji28]
Niongezee tu Mkuu muda ni kuanzia saa tano asubuhi au kwa wasioelewa ni11:00hrs. 😅Kupitia APP yetu Rasmi; "TWENZETU KWENYE MABADILIKO" Ndio kauli mbiu yetu kuelekea kwenye mabadiliko na utiaji saini wa makubaliano baina ya YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB " The Citizen Team" na La Liga. Kampeni itazinduliwa rasmi kesho ili kutuweka wananchi ktk mkao wa kula juu ya utiaji wa saini ya ushirikiano wa taasisi hizi mbili kubwa duniani huku wengine wakikodoa tu macho na kumeza dawa za usingizi ili wasione ila ndo hivyo Azam hawana adabu itabidi warushe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni nani hadi nisikazie Mkuu. 😂😂 NAKAZIIIA.Mnyero United kaa kwenye TV yako kesho usikie Wananchi wana jambo lao[emoji4][emoji40]. Mana kwa jazba mlizo nazo mnaweza kutupa hata barakoa zenu na mkanywa Sanitizer zenu[emoji1529][emoji1529]
Sent using Jamii Forums mobile app