Hivi Ses ndo tuseme ukishiba futari unakuwa mzito kuelewa kiasi hiki eee? πββοΈπββοΈπββοΈMaelezo meengi ya Mwenyekiti. Njooni uwanjani tucheze, ndio panaongea kwa sauti kuliko kauli za siasa za mpira
Nimesoma ile para ya kwanza ya Mwenyekiti Msola hata sijaelewa! Naona siasa nyiiiingi. Hebu nisaidie kuelezea anamaanisha nini ShadeeyaHivi Ses ndo tuseme ukishiba futari unakuwa mzito kuelewa kiasi hiki eee? πββοΈπββοΈπββοΈ
Oooh. Hapo sawa.Time ya kupata chai ya hiliki sasaπ€ͺπ€ͺ
Hahahaaa. Lol.Nimesoma ile para ya kwanza ya Mwenyekiti Msola hata sijaelewa! Naona siasa nyiiiingi. Hebu nisaidie kuelezea anamaanisha nini Shadeeya
Ndio maana nakwambia acheni maneno meeengi sijui programu ya maboresho ya maendeleo ya mikakati ya miundombinu ya kufanikisha ya mipango endelevu!!!!!!! Njooni uwanjani mcheze soka maneno waachieni CHADEMA na CCMHahahaaa. Lol.
Heheheheheee!! Kwani hizo programu zikiendelea Uwanjani tunakuwa hatuchezi?Ndio maana nakwambia acheni maneno meeengi sijui programu ya maboresho ya maendeleo ya mikakati ya miundombinu ya kufanikisha ya mipango endelevu!!!!!!! Njooni uwanjani mcheze soka maneno waachieni CHADEMA na CCM
Tunavyo watamani basi tu. Lini kombe la FA litaanza tena ili tuwaonyeshe kua mlibahatisha? Julio anamsemo wake "kunguru kumnyea binadamu sio kama anashabaha bali kabahatisha"Heheheheheee!! Kwani hizo programu zikiendelea Uwanjani tunakuwa hatuchezi?
Najua inauma mkisikia haya maneno ila jikazeni tu yanga nayo ifanye mabadiliko tuzidi kula sahani moja.
Chukua hiyooo.Tunavyo watamani basi tu. Lini kombe la FA litaanza tena ili tuwaonyeshe kua mlibahatisha? Julio anamsemo wake "kunguru kumnyea binadamu sio kama anashabaha bali kabahatisha"
Nyie endeleeni na mipango ya programu ya maendeleo endelevu sisi tunawasubiri dimbani
SubutuuuhamuwezikuakamaSimbaπ€£
Hii ni ya kulia daku kabisa hii. Huyu Nugaz hana adabu kabisaπ€£π€£π€£Chukua hiyooo.
Bila janja janja Yanga hafungwwi na Simba. (In Nugaz voice)
N ways "TWENZETU KWENYE MABADILIKO!"Habari kubwa kwa Wananchi:
Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla, leo amezindua kampeni ya kuelekea uzinduzi wa mfumo wa mabadiliko ya kiuendeshaji wa klabu hiyo, ambayo yatakuwa chini ya kamati ndogo ya mabadiliko ya kimfumo chini ya Mwanasheria Msomi, Alex Mgongolwa.
Mchakato wote wa mabadiliko ya kimfumo utasimamiwa na kufadhiliwa na Mdhamini wa Yanga, Chapa GSM, ukiwa na kauli mbiu ya βTWENZETU KWENYE MABADILIKOβ
Huu sasa ni mwanzo halisi wa kuelekea kuweka saini ya makubaliano hayo, ambao utakuwa muda rasmi wa kuanza mchakato wa mabadiliko.
@Azamsports2
Ndugu bado una hamu ya kucheza Na Sie? Asee inabidi tuanze kuwaogopa!Maelezo meengi ya Mwenyekiti. Njooni uwanjani tucheze, ndio panaongea kwa sauti kuliko kauli za siasa za mpira
Ha ha ha anasahaugi hata hatari alizowahi kukumbana nazo maishani,mana hata zile hatari za tarehe 4 na 8 ashazisahauHivi Ses ndo tuseme ukishiba futari unakuwa mzito kuelewa kiasi hiki eee? [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Daaa asee mna roho ngumu sana mana tulipowafunga goli 2 ndani ya dk 3 mlisema tumebahatisha. Tuliporudiana mkasema tutawaeleza ile droo tuliipataje. BM double 3 Bernard Morrison alipofunga ndoa na ninyi mkanyamaza kidogo mana mlikiwa honeymoon. Sahz mmeanza tena kutaka tena!?Tunavyo watamani basi tu. Lini kombe la FA litaanza tena ili tuwaonyeshe kua mlibahatisha? Julio anamsemo wake "kunguru kumnyea binadamu sio kama anashabaha bali kabahatisha"
Nyie endeleeni na mipango ya programu ya maendeleo endelevu sisi tunawasubiri dimbani
SubutuuuhamuwezikuakamaSimba[emoji1787]
Msemaji kasema aliona mbali sanaChukua hiyooo.
Bila janja janja Yanga hafungwwi na Simba. (In Nugaz voice)
Na waishukuru Corona sababu wao ndio walipaswa kutueleza zile goli mbili za mapema walizipataje? π πDaaa asee mna roho ngumu sana mana tulipowafunga goli 2 ndani ya dk 3 mlisema tumebahatisha. Tuliporudiana mkasema tutawaeleza ile droo tuliipataje. BM double 3 Bernard Morrison alipofunga ndoa na ninyi mkanyamaza kidogo mana mlikiwa honeymoon. Sahz mmeanza tena kutaka tena!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliona mbali sanaaa.
Yanga wabishi sana aisee. Papaa Zahera alishawahi kukiri hadharani wakati huo akiwa mkuu wa bench lenu la ufundi kua Lunyasi ni habari nyingine, ni mziki mneneNa waishukuru Corona sababu wao ndio walipaswa kutueleza zile goli mbili za mapema walizipataje? π π
Hii timu yetu ni ya Wananchi na wawekezaji ni WananchiAliona mbali sanaaa.
Bila ya janja janja mikia hawawezi kuifunga YangaYanga wabishi sana aisee. Papaa Zahera alishawahi kukiri hadharani wakati huo akiwa mkuu wa bench lenu la ufundi kua Lunyasi ni habari nyingine, ni mziki mnene
Aliamua kupaki basi na treni kabisaa ndio ikiwa salama yenu. Sasa nakushangaa Shadeeya leo hii unauliza goli mbili tulizipataje wakati nyie ndio tuwaulize mlitumia miujiza ya Kalumanzira yupi kuzirudisha!!!!? Soka letu hulioni? Kikosi chetu hukioni!!!?