Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hakika usemalo akili zao huwa wanazijua wenyewe. [emoji28][emoji28][emoji28]
Kweli akili zao huwa wanazijua wenyewe...
Kuna wakati pale msimbazi walikuwa wamezungusha bonge la ukuta wa makuti. Wakafungwa na Yanga. Hasira zao wakachoma ukuta wao wa makuti,halafu wakavamia nyumbani kwa mwenyekiti wao. Alikuwa mfugaji mzuri wa mabata. Wakayachinja yooote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kubwa kuliko. Ila hicho walichofanya ndio Tafsiri kubwa ya U M B U M B U. 😅😅
 
Nawaza tu 🤔🤔 hivyo hao kuku wakawafanyaje?

Waligawana kila mmoja kuku wake ama? 😅😅
 
Tuendelee kujikumbusha
Your browser is not able to display this video.


The only thing to fear is fear itself
 
SASA KUMEKUCHA

Napenda kuwafahamisha ya kuwa, siku ya Jumanne saa kumi jioni wachezaji wote wa @yangasc wataripoti Uwanja wa Mazoezi kwa ajili ya Vipimo mbalimbali kama Uzito, Covid19, Malaria, Glucometer-Kupima Sukari Mwilini etc na maelekezo mbalimbali jinsi ya kujikinga na Covid19.

AIDHA tumemualika Dr Marealle Mjumbe wa Kudumu wa Kamati ya Tiba CAF na Mjumbe wa Kamati ya Tiba TFF! kuja kutoa darasa kwa ufupi kwa vijana wetu kuhusu Covid 19.

Mwenyekiti wa Klabu pamoja na Wadhamini wetu watapata wasaa wa kuzungumza na wachezaji kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo michezo yetu iliyobaki na maana yake kwa timu yetu!

Hakutakuwa na Ruhusa kwa yeyote kuingia Uwanjani kwenye Mazoezi ya Timu Kwa ajili ya Uzingativu wa Maelekezo ya Serikali yetu.

TUMEKUJA KIVINGINE TUTAELEWANA TU.

DEO MUTTA
KATIBU
KAMATI YA MASHIDANO
YANGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…