GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,001
- 704
Mnyama hafai kabisa jamaa yangu wa karibu kaninunia toka usiku kila nikimsemesha anajibu eti "aahh1 huu sasa ufala tutapigwaje mbilli bwana!". Ngoja nimuache machungu yapungue,ila nawashauri Mnyama ktk mechi za ligi apige moja,moja tuu maana haliumi sana kama viwili. Tehe tehe!
Poleni sana watani leo mmeambulia pointi 1....au mnataka manji.............hahahahaha
<br />Kwani matokeo ya mechi za vigogo leo yapoje wanajamvi
Tulia wewe,chama litafufuka punde.Jamani huyu Manji yuko wapi? vijana wa Jangwani wanashindwa kucheza vizuri shauri ya njaa na bila Manji ni hatari tupu.
Wa mwaka jana ndio ulikuwa mbaya zaidi......Lakini mwishowe tukawa mabingwa....Huu msimu kwa kweli ni mbaya kwa wanajangwani..
Matoj=keo hadi sasa ni moja kwa moja. sema jinginendo hamtaki kutoa matokeo siyo?
mwaka huu simba hakuna kulala hadi kieleweke na wasipokazana mtani lazima mwakani akacheze ligi na AFCwapinzani poleni sana, msijali raundi ya pili simba wataanza kudraw halafu mtatwaa tena ubingwa kwa tofauti ya magoli ha ha haaaaaa LOL!!!