Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Sisi tunajitangaza pale kwenye pitch Shadeeya, pale kwenye kutandaza soka kama watu qanacheza draft, soka la butudani nyiiingi, soka la ubingwa, soka na kiufundi. Zile mbwembwe za sijui La Liga kwenye makaratasi wenzenu sisi kama kuiga tumeiga pale uwanjani jinsi ya kuupiga mpita mwingi saaanaSasa na nyie si mjitangaze nini kinawashinda sa? πππ
Hii ndio sababu mkifungwa mnadai mmelogwa. Lol.Sisi tunajitangaza pale kwenye pitch Shadeeya, pale kwenye kutandaza soka kama watu qanacheza draft, soka la butudani nyiiingi, soka la ubingwa, soka na kiufundi. Zile mbwembwe za sijui La Liga kwenye makaratasi wenzenu sisi kama kuiga tumeiga pale uwanjani jinsi ya kuupiga mpita mwingi saaana
Matokeo yake ndio hayo ya jana sasa!!! Poleni yamewakutaπ€£π€£π€£Tulijuwa lazima muteseke. π π
Hamna lolote kile ndio kipimo sasa.Matokeo yake ndio hayo ya jana sasa!!! Poleni yamewakutaπ€£π€£π€£
Si ndio kama yale magoli mawili ya kichawichawi mliyorudisha siku zileπ€£Hii ndio sababu mkifungwa mnadai mmelogwa. Lol.
Vibonge na vitambi FCπ€£π€£π€£Hamna lolote kile ndio kipimo sasa.
Na mtabakia na mawazo hayo hayo siku zote mana ule sio mwisho wa kipigo.S
Si ndio kama yale magoli mawili ya kichawichawi mliyorudisha siku zileπ€£
Hahahaaa. Mtani hii post naiona saa hasira ishaisha. Lol.Nyie KMC kwa nini mnamkosesha Amani Shadeeya ?
Basi usilie Shadeeya nitawachapa ila usicheze nao tena umesikiaaπππ¬
Omba tukutane FA, mbona utatamani mods wakusaidie kufuta kauli yako hiiπππNa mtabakia na mawazo hayo hayo siku zote mana ule sio mwisho wa kipigo.
Yaani tuko radhi tupoteze kote ila sio kwenu MNYERO FC. π
Wachezaji wengi wameongezeka uzito sema tu ni vile tumetangaza basi mnaona kama ni wachezaji wa Yanga pekee ndio wameongezeka. LolVibonge na vitambi FCπ€£π€£π€£
Hahahaaa. Umefikia huko lol.Omba tukutane FA, mbona utatamani mods wakusaidie kufuta kauli yako hiiπππ
Kuna mdau humu alisema wakati ligi imesimama Chura FC ilikua inanenepesha wachezaji wake kama wale wafugaji wanavyofanya kwa mifugo iendayo mnadani, sasa sijui kuna ukweli wowote? Kwani Nugaz anasemaje?Wachezaji wengi wameongezeka uzito sema tu ni vile tumetangaza basi mnaona kama ni wachezaji wa Yanga pekee ndio wameongezeka. Lol
Hebu waacheni wachezaji wetu. π
Tusikimbiane tu mamiiHahahaaa. Umefikia huko lol.
Ama kweli KMC kakupa kiburi. Nadhani semi Final tutakutana hivyo jipanngggeee.
Haijawahi kutokea kwangu hiyo.Tu
Tusikimbiane tu mamii
Hii ndio mnadanganyana kule vijiweni eee?Kuna mdau humu alisema wakati ligi imesimama Chura FC ilikua inanenepesha wachezaji wake kama wale wafugaji wanavyofanya kwa mifugo iendayo mnadani, sasa sijui kuna ukweli wowote? Kwani Nugaz anasemaje?
Kwahiyo mwenyewe unaiamini kabisaa timu yako! Kwa ushauri wangu Shadeeya tena ushauri wa bure kabisaa, sikutozi hata kumi. Usiweke matumaini kwenye hiyo timu ilivyo kwa sasa, unajitafutia kupata pressure buree. π€£π€£π€£Haijawahi kutokea kwangu hiyo.
Kwanini tuandikie mate lakini wakati wino......Hii ndio mnadanganyana kule vijiweni eee?
Hiviii kama nikicheza na wewe nakulaza na viatu nini cha kukosa kujiamini? πKwahiyo mwenyewe unaiamini kabisaa timu yako! Kwa ushauri wangu Shadeeya tena ushauri wa bure kabisaa, sikutozi hata kumi. Usiweke matumaini kwenye hiyo timu ilivyo kwa sasa, unajitafutia kupata pressure buree. π€£π€£π€£
Wino upi huo. π€£π€£π€£ Wamoja bila au?Kwanini tuandikie mate lakini wakati wino......