Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Winga Benard Morrison leo Amefika makao makuu ya Klabu na kuongea na kaimu katibu Mkuu.Adv.Simon Patrick pia Morrison akatumia nafasi hiyo kuomba radhi kwa wanachama na Mashabiki wa Yanga pia ameleeza sababu ya sintofahamu zilizojitokeza siku za hivi karibuni.​
 
Wadhamini wetu kampuni ya GSM @gsmhometz leo wametoa nafasi kwa msafara wa Timu ya Wananchi kutembelea maduka GSM Dodoma na kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali.
 
track kali sana hizi...

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Kali mnoo. Nadhani kuanzia msimu ujao zitapatikana kwa GSM sababu mkataba wake katika kutengeneza bidhaa mbalimbali na timu na wananchi umekuwa mpana na haujaishia kwenye jezi pekee.

Hivyo tuandae mshiko tu.
 
Leo ilikuwa burdani tu kwenye Maduka ya GSM huko Dodoma

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…