babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Wao wasiokuwa na vitambi,mbona wamekubali kupapaswa?Haya ni maneno tu ambayo hata kwenye k h a n g a yapo. [emoji126]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wasiokuwa na vitambi,mbona wamekubali kupapaswa?Haya ni maneno tu ambayo hata kwenye k h a n g a yapo. [emoji126]
Ndio hapo sasa.Wao wasiokuwa na vitambi,mbona wamekubali kupapaswa?
track kali sana hizi...
Kali mnoo. Nadhani kuanzia msimu ujao zitapatikana kwa GSM sababu mkataba wake katika kutengeneza bidhaa mbalimbali na timu na wananchi umekuwa mpana na haujaishia kwenye jezi pekee.track kali sana hizi...
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Picha ya zamani lakin Mkuu umekomaa Kama huna ubongo vile anyway uzuri tunawajua nyie ni Mbumbumbuhapo ukichunguza hata mishahara hawajalipwa [emoji22][emoji22]
Au kama tumemng'oa kidole cha mwisho vile. (Jokes) 🤣🤣🤣Picha ya zamani lakin Mkuu umekomaa Kama huna ubongo vile anyway uzuri tunawajua nyie ni Mbumbumbu
Wao wakienda kwa Moo wanafaidi juice