Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
AAH!! Ila kama ile ya jana Yikpe sidhani kama ni sawa bana. Ndio hajui mpira lakini wasisahau kwamba bado kuna mechi zimebakia.Timu mbovu halafu hamtaki kuambiwa ukweli[emoji16]
Nani huyo kasema?Na keshasema ole wenu msichukue kombe la FA mtakoma[emoji16]
AAH!! Ila kama ile ya jana Yikpe sidhani kama ni sawa bana. Ndio hajui mpira lakini wasisahau kwamba bado kuna mechi zimebakia akiamua kugoma unadhani kitatokea nini ndani ya Kikosi?
Sababu sidhani kama hana wafuasi mule nao wanaeza kugoma pia je sisi mashabiki ndo tutacheza Uwanjani?
Nani huyo kasema?
Aaah!! Kwa sasa hawezi pata mshahara bure pasi kuufanyia kazi ujue. Lazima wamtumie tu hivyo hapo ni sisi mashabiki kuwa wavumilivu tu mpaka next season.Uyo Yikpe bora mumpe kazi ya ulinzi ndo inamfaa[emoji16]
Akwendddrrrreeee zake huko.Mzee wa utopolo[emoji3]
Hahahaha!! Kwamba atafanya nini?Mzee wa utopolo[emoji3]
Ile ndo mipango yetu kwa sasa ikitokea itakuja ndivyo sivyo tutaipokea tu.Mzee wa utopolo[emoji3]
Mkaona muwadhulumu goli 2 kabisaMtani Chepesi kutabiri ni mvua pekee. [emoji41][emoji41]
Naona umefika Othmani Kazi. π πMkaona muwadhulumu goli 2 kabisa
hebu kakideo, video nilizo nazo ni goli za wale, hata club iliyolalamika ni waleNaona umefika Othmani Kazi. π π
Sisi hatukudhulumiwa?
Aaah!! Kwa sasa hawezi pata mshahara bure pasi kuufanyia kazi ujue. Lazima wamtumie tu hivyo hapo ni sisi mashabiki kuwa wavumilivu tu mpaka next season.
Hahahaha!! Kwamba atafanya nini?
Aaaah!! Mpira wa Tanzania haujawahi kuisha ulalamishi.hebu kakideo, video nilizo nazo ni goli za wale, hata club iliyolalamika ni wale
Ila sasa tunaganga ya FA ujue.hebu kakideo, video nilizo nazo ni goli za wale, hata club iliyolalamika ni wale
Siwasikilizagi hao mie Mtani. πTafuta ile clip mliyofungwa goli tatu umsikie[emoji16]
FA? hebu niambie mna mpango gani nayo? kuiiba au? [emoji3526][emoji3526]Ila sasa tunaganga ya FA ujue.
Kuwa mpole Kagame.FA? hebu niambie mna mpango gani nayo? kuiiba au? [emoji3526][emoji3526]
hee..how did you know [emoji41][emoji41]Kuwa mpole Kagame.