Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

AAH!! Ila kama ile ya jana Yikpe sidhani kama ni sawa bana. Ndio hajui mpira lakini wasisahau kwamba bado kuna mechi zimebakia akiamua kugoma unadhani kitatokea nini ndani ya Kikosi?

Sababu sidhani kama hana wafuasi mule nao wanaeza kugoma pia je sisi mashabiki ndo tutacheza Uwanjani?

Uyo Yikpe bora mumpe kazi ya ulinzi ndo inamfaa[emoji16]
 
Back
Top Bottom