Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Dah! Wananchi bana, pamoja na kuboronga koote hadi kuitwa Utopolo FC wao bado tu wameng'ang'ania kuipenda timu yaoππππ, mna roho ngumu sana ShadeeyaπππView attachment 1490255
View attachment 1490256
Hahahaaaa. Ona Jinsi wadada wa Timu ya wananchi tulipangilia kujiunga Jf. πππ
Tuwache. Ahami mtu hapa. πDah! Wananchi bana, pamoja na kuboronga koote hadi kuitwa Utopolo FC wao bado tu wameng'ang'ania kuipenda timu yaoππππ, mna roho ngumu sana Shadeeyaπππ
Hakika ila msishinde njaa""Insha Allah.
Naimani tunashinda kweli leo Mdogo wangu.
Leo umeamua usiende uwanjani maana kila ukienda ni sare tuπππΈDua la kuku hili Mtani.
Ni kweli mtashinda lakini na njaa.Insha Allah.
Naimani tunashinda kweli leo Mdogo wangu.
Moja bila huko. πNi kweli mtashinda lakini na njaa.
Nimechoka Mtani kila siku holla. Leo nachekia home aisee. πππLeo umeamua usiende uwanjani maana kila ukienda ni sare tuπππΈ
Deportivo de Mkunungu
Kafunga Nan?De Mkunungu 1 - 0 Ndanda
DK 5
Hatushindi njaa Mdogo wangu mana tayari tushamnywesha kimoja huko.Hakika ila msishinde njaa""
Majina gani hayo?π³π³De Mkunungu 1 - 0 Ndanda
DK 5
Leo mmeokota dodoπWetu hawa leo. πππππ
πππLeo mmeokota dodoπ
Mtani we ndio unatuchawia ππDe Mkunungu 1 - 1 Ndanda
DK 10