Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Dah! Wananchi bana, pamoja na kuboronga koote hadi kuitwa Utopolo FC wao bado tu wameng'ang'ania kuipenda timu yao😀😀😀😀, mna roho ngumu sana Shadeeya😀😀😀View attachment 1490255
View attachment 1490256
Hahahaaaa. Ona Jinsi wadada wa Timu ya wananchi tulipangilia kujiunga Jf. 😂😂😂