πππ kkkweeenddraaaa.Wanufaika wakuu wa maamuzi ya marefu , ila wanavyojua kupiga kimya sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu yamefululiza , sasa yatokee upande mwingine, hata mechi moja tu , hatulali
Bm33 kasepaTaarifa zipi?
Hukuona Mbelekoo?Kipi hicho tena Mtani ambacho mi sijakiona? ππ
Yaani Kagera hata baada hakuwa pungufu walikuwa bora kuliko sisiHamna kitu wameonyesha jana wachezaji.
Tuko mbele point point 20 sijui, hata ukitukata point za michezo 6 bado tuko kilelen pale pale,[emoji23][emoji23][emoji23] kkkweeenddraaaa.
Naona hadi umechapia. Lol. Nyie mshasahau wao ndio wanufaika zaidi na ndio wamewafanya muwe pale mlipo sasa kwenye msimamo VPL?
Mkuu waache hawa watu matatizo waliyonayo yanawatosha.πTuko mbele point point 20 sijui, hata ukitukata point za michezo 6 bado tuko kilelen pale pale,
Nyie tukiwakata idadi hiyo hiyo ya michezo mnakua wapi?? [emoji23][emoji23][emoji23]
ila mtani kaupiga mwingi sana leoYametimia sasa Ahsante Mungu Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Hatari sana Mkuuila mtani kaupiga mwingi sana leo
Hahahaaa. Lol.Tuko mbele point point 20 sijui, hata ukitukata point za michezo 6 bado tuko kilelen pale pale,
Nyie tukiwakata idadi hiyo hiyo ya michezo mnakua wapi?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh. Sawa.Bm33 kasepa
Mmejileta wenyyewe.Yametimia sasa Ahsante Mungu Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Weeee!!Mkuu waache hawa watu matatizo waliyonayo yanawatosha.π
Sikuwahi kufikiri kuwa kifo nacho kinafurahiwa?
Heee. Unaongea na simu Mtani?Sikuwahi kufikiri kuwa kifo nacho kinafurahiwa?