Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wanufaika wakuu wa maamuzi ya marefu , ila wanavyojua kupiga kimya sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu yamefululiza , sasa yatokee upande mwingine, hata mechi moja tu , hatulali
😂😂😂 kkkweeenddraaaa.

Naona hadi umechapia. Lol. Nyie mshasahau wao ndio wanufaika zaidi na ndio wamewafanya muwe pale mlipo sasa kwenye msimamo VPL?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kkkweeenddraaaa.

Naona hadi umechapia. Lol. Nyie mshasahau wao ndio wanufaika zaidi na ndio wamewafanya muwe pale mlipo sasa kwenye msimamo VPL?
Tuko mbele point point 20 sijui, hata ukitukata point za michezo 6 bado tuko kilelen pale pale,

Nyie tukiwakata idadi hiyo hiyo ya michezo mnakua wapi?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuko mbele point point 20 sijui, hata ukitukata point za michezo 6 bado tuko kilelen pale pale,

Nyie tukiwakata idadi hiyo hiyo ya michezo mnakua wapi?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu waache hawa watu matatizo waliyonayo yanawatosha.😀
 
morrison atinga tff na mkataba wake je viongozi walituongopea??
aggysimbasportsclub___CCHOb07j31U___.jpg
 
Tuko mbele point point 20 sijui, hata ukitukata point za michezo 6 bado tuko kilelen pale pale,

Nyie tukiwakata idadi hiyo hiyo ya michezo mnakua wapi?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Lol.

Kwa jibu hili mwafaka hauezi patikana.

#Bingwafekibingwamiamala. Lol
 
TUMEOMBA KUKUTANA NA SIMBA TUMEPEWA TUNA SIKU KUMI TU
NA SIMBA JANA WAMEUPIGA MWINGI SANA
 
Maana Yangu ni kua , hata kama ikitokea labda tulinufaika na maamuzi ya waamuzi , sisi bado tunakua kileleni vile vile tofauti na nyie

lakn pia usisahau , tumekua wahanga wa maamuzi ya waamuzi vile vile

Anyway..jamaa yenu alipelekea mkataba wake TFF .. tupen update .. mara paap ije ijulikan mlipeleka TFF mkataba feki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , mtaambia nn watu
 
Mna siku 10 za kuwatafuta WAGANGA kwa ajili ya kupunguza idadi ya magoli.
De Mkunungu fc
Shomary Lawi fc
Shadeeya fc
 
Back
Top Bottom