Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Pata picha ingekuwa barakoa fc na yale marangi yao....
Watu wangelilikimbia hilo banda wakidhani ni kwa vinyamkera
 
Sina hakika kama alipiga zoezi lakini alikuwepo jana.

Huyu Ninja na yule Haji Mwinyi wanaihusudu sana Timu ya Wananchi. Ile game ya 2-2 walikuwepo nao Taifa wakiifuatilia wakati kila mmoja alikuwa na timu yake.
Sijaelewa hapa dada Shadeeya kila mmoja na timu yake kivipi?
 
Kumpa Morrison 100m ili acheze Game ya simba huo ni Uzwazwa na Kweli yangwa ni utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…