Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Anawatesa watu sana huyu kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mwananchi mwenye hasira kali.
Simba nguvu moja
Hajafungiwa na anaendelea na mazoezi kwa ajili ya mechi ya nusu fainaliAmefungiwa mechi ngapi kwani?
Pole, Hujui hata kinachoendelea kwenye club yakoHajafungiwa na anaendelea na mazoezi kwa ajili ya mechi ya nusu fainali
Pata picha ingekuwa barakoa fc na yale marangi yao....Ila nimependa angalau sasa hivi tunajitahidi kwenye kutafuta pesa hasa baada ya kufungua banda letu kule 7 7.
Kwani nimeona watakuwepo wataalamu wa kuwaelekeza mashabiki wetu namna ya kuitumia App ambapo wakiungwa watu kwa wingi hapo ni lazima pesa itaingia kwa klabu.
Ha ha ha haPata picha ingekuwa barakoa fc na yale marangi yao....
Watu wangelilikimbia hilo banda wakidhani ni kwa vinyamkeraView attachment 1496373
Usiogope anaweza asicheze dhidi yenuPole, Hujui hata kinachoendelea kwenye club yako
Na bora asicheze. Mbumbumbu hawachelewi kwenda kulalamika FIFAUsiogope anaweza asicheze dhidi yenuView attachment 1496374
Hahahahaaa. LolUsiogope anaweza asicheze dhidi yenu
View attachment 1496374
Hahahahaa!! Hatari Mkuu.Pata picha ingekuwa barakoa fc na yale marangi yao....
Watu wangelilikimbia hilo banda okwakidhani ni kwa vinyamkeraView attachment 1496373
Sijaelewa hapa dada Shadeeya kila mmoja na timu yake kivipi?Sina hakika kama alipiga zoezi lakini alikuwepo jana.
Huyu Ninja na yule Haji Mwinyi wanaihusudu sana Timu ya Wananchi. Ile game ya 2-2 walikuwepo nao Taifa wakiifuatilia wakati kila mmoja alikuwa na timu yake.
kwa kipi cha ziada mlichonacho mkuuUtopolo wanatamani siku zisiende lakini ndio hivyo tena maji ukiyavulia nguo.
Simba nguvu moja
Yaani hawakuwa wachezaji wa timu ya Wananchi.Sijaelewa hapa dada Shadeeya kila mmoja na timu yake kivipi?
AlaaaaYaani hawakuwa wachezaji wa timu ya Wananchi.
Ila kwa mapenzi yao wakaja kuishangilia.
Kama ni kweli umetowa sh ngapi toka mfukoni mwako Mkuu mpaka uumie namna hiyo. 🙄🙄Kumpa Morrison 100m ili acheze Game ya simba huo ni Uzwazwa na Kweli yangwa ni utopolo
Mwizi wa Magari Anawapanda kichwani anavyotaka..Kama ni kweli umetowa sh ngapi toka mfukoni mwako mpaka uumie namna hiyo Mkuu.
Tekiitiizzyy.
We tu Mtani ndio unataka kukompliketi. 😂😂😂Mwizi wa Magari Anawapanda kichwani anavyotaka..
Nasikia mmemaliza wachawi wote mkiloga asichezeKumpa Morrison 100m ili acheze Game ya simba huo ni Uzwazwa na Kweli yangwa ni utopolo
Na ile jana kuwepo mazoezini ndio wamepagawa mbaya.Nasikia mmemaliza wachawi wote mkiloga asicheze