Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mpeni yikpe mijihela yake asepe[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuigaiga tu.
Nikikumbuka manyani mlivyosajili mwa pupa
Sadney urikhob
Juma balinya
Kalengo
Bigirimana Walcott wa rwanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe mlikuwa mnajambisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sokwe kama sokwe



Na sasa hivi mtasajili tena wachezaji 16[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mnautaka ubingwa

GSM wanawapiga tu mambwa fc, wao wanachojua ni kubweka tu
 
Tumrudishe Chicken Head, George Lwandamina tumlipe vizuri na tumpe muda naamini tutafika mbali!!
 
BREAKING NEWS:

Uongozi wa Club ya Yanga unapenda kuwataharifu mashabiki na wapenzi wa Club hiyo kwamba mchezaji fundi wa Club hiyo Yikpe Gnamien ataendelea kuwepo klabuni hapo hadi mwisho wa dahari.
Wape Salaaaam
 
Mikia bana. Sasa humo kwa Mashabiki wa timu ya Wananchi si kuna hadi watu wenu wa karibu? [emoji15][emoji15]

Acheni kuisapoti ngozi nyeupe nyieee. Hivyo mnafurahia mzungu akituita masokwe. lol.
Ndugu yangu ushaambiwa ni mbumbumbu hawa hawezi kuwaza kiundani. Kwanza wangetafakari maneno ya mwanzo tu ya huyo kocha wasingeunga mkono ule ubaguzi. Alimwambia mwandishi "I'm not enjoying your country, you are uneducated people" hata mwandishi sijui kwa nini hakumkemea walau kwa kibao japo mimoja
 
Halafu huku mbumbumbu wanavhekelea kichizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…