Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Oooh!! Sawa Mkuu.namaanisha ni kocha mzuri, anajua kubua na ku improve wachezaji mkuu.
Lakini tulimwachaje sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh!! Sawa Mkuu.namaanisha ni kocha mzuri, anajua kubua na ku improve wachezaji mkuu.
mkataba wake ulivunjika automatically baada ya Yanga kushindwa kumlipa mshahara zaidi ya miezi 6.Oooh!! Sawa Mkuu.
Lakini tulimwachaje sasa?
Hapa umeniacha Mkuu.
Unamaanisha nini?
namaanisha ni kocha mzuri, anajua kubua na ku improve wachezaji mkuu.
Oooh!! Sawa Mkuu.
Lakini tulimwachaje sasa?
Pesa ya kumlipa mnayo ? kamchukuenimkataba wake ulivunjika automatically baada ya Yanga kushindwa kumlipa mshahara zaidi ya miezi 6.
Vp unataka kutupa hiyo pesa au?Pesa ya kumlipa mnayo ? kamchukueni
Tumrudishe Chicken Head, George Lwandamina tumlipe vizuri na tumpe muda naamini tutafika mbali!!Hivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa.
Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba mmoja wao anaweza kuja Yanga imekaaje hii? [emoji848][emoji848]
Ni kwamba
- Tumewazowea
- Wako Cheap kuwapata
-Wanaipenda Tz ama aje?
Ondoen kwanza vile vitambi paleVp unataka kutupa hiyo pesa au?
Huyu juzi kacheza ndondo msasaniShadeeya nadhani na huyu amfuate LucView attachment 1521753
Shadeeya Usijifanye haujaona.Shadeeya nadhani na huyu amfuate LucView attachment 1521753
Mtani kati ya wale aliowataja Eymael wewe unachagua kundi la nyani au mbwa ?Wacha kuteseka we Mikia.[emoji41]
Makundi ya whatsapp ???
Ndugu yangu ushaambiwa ni mbumbumbu hawa hawezi kuwaza kiundani. Kwanza wangetafakari maneno ya mwanzo tu ya huyo kocha wasingeunga mkono ule ubaguzi. Alimwambia mwandishi "I'm not enjoying your country, you are uneducated people" hata mwandishi sijui kwa nini hakumkemea walau kwa kibao japo mimojaMikia bana. Sasa humo kwa Mashabiki wa timu ya Wananchi si kuna hadi watu wenu wa karibu? [emoji15][emoji15]
Acheni kuisapoti ngozi nyeupe nyieee. Hivyo mnafurahia mzungu akituita masokwe. lol.
Ndugu yangu hawa watu ushaambiwa ni mbumbumbu unadhani wana upeo Wa kutafakari hilo?Kwa akili zao wanadhani kawatukana wanayanga pekee. Wakati kuna maneno anasema watanzania hawajasoma. Hapo mikia wanajifanya wao sio watanzania
Halafu huku mbumbumbu wanavhekelea kichiziAliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael ,60, afungiwa na chama cha soka Afrika Kusini (SAFA) kufanya kazi nchini humo, hiyo ikiwa ni siku moja tu baada ya Yanga kumfuta kazi kwa tuhuma za ubaguzi wa rangi, SAFA pia wamewaomba FIFA na CAF kumuadhibu zaidi ya kocha huyo.
“Tunataka kuonesha mshikamano wetu na sapoti kwa chama cha soka cha Tanzania na Yanga SC, historia yetu, mila na desturi ni kupinga ubaguzi wa rangi wa aina yoyote “ taarifa kutoka SAFA
#MillardAyo.