Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mpeni yikpe mijihela yake asepe[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuigaiga tu.
Nikikumbuka manyani mlivyosajili mwa pupa
Sadney urikhob
Juma balinya
Kalengo
Bigirimana Walcott wa rwanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe mlikuwa mnajambisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sokwe kama sokwe



Na sasa hivi mtasajili tena wachezaji 16[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mnautaka ubingwa

GSM wanawapiga tu mambwa fc, wao wanachojua ni kubweka tu
 
Hivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa.

Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba mmoja wao anaweza kuja Yanga imekaaje hii? [emoji848][emoji848]

Ni kwamba
- Tumewazowea
- Wako Cheap kuwapata
-Wanaipenda Tz ama aje?
Tumrudishe Chicken Head, George Lwandamina tumlipe vizuri na tumpe muda naamini tutafika mbali!!
 
BREAKING NEWS:

Uongozi wa Club ya Yanga unapenda kuwataharifu mashabiki na wapenzi wa Club hiyo kwamba mchezaji fundi wa Club hiyo Yikpe Gnamien ataendelea kuwepo klabuni hapo hadi mwisho wa dahari.
Wape Salaaaam
 
Screenshot_20200730-193112.png
Bernard Morisson Shadeeya
 
Mikia bana. Sasa humo kwa Mashabiki wa timu ya Wananchi si kuna hadi watu wenu wa karibu? [emoji15][emoji15]

Acheni kuisapoti ngozi nyeupe nyieee. Hivyo mnafurahia mzungu akituita masokwe. lol.
Ndugu yangu ushaambiwa ni mbumbumbu hawa hawezi kuwaza kiundani. Kwanza wangetafakari maneno ya mwanzo tu ya huyo kocha wasingeunga mkono ule ubaguzi. Alimwambia mwandishi "I'm not enjoying your country, you are uneducated people" hata mwandishi sijui kwa nini hakumkemea walau kwa kibao japo mimoja
 
Aliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael ,60, afungiwa na chama cha soka Afrika Kusini (SAFA) kufanya kazi nchini humo, hiyo ikiwa ni siku moja tu baada ya Yanga kumfuta kazi kwa tuhuma za ubaguzi wa rangi, SAFA pia wamewaomba FIFA na CAF kumuadhibu zaidi ya kocha huyo.

“Tunataka kuonesha mshikamano wetu na sapoti kwa chama cha soka cha Tanzania na Yanga SC, historia yetu, mila na desturi ni kupinga ubaguzi wa rangi wa aina yoyote “ taarifa kutoka SAFA

#MillardAyo.
Halafu huku mbumbumbu wanavhekelea kichizi
 
Back
Top Bottom