Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 831
Wape salaaaam ShadeeyaMnavyojua kufuatilia tu Mtani. Kazi mnayo.
π³π³ Masikini hiyo veeepeee Mtani?
Kwani hapo wameandika hao ndio wanaendesha timu?Makundi ya whatsapp ???
Hili timu siku hizi linaendeshwa kwa WhatsApp [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
WhatsApp Fc [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Na kweli Mbumbu kuelewa ni shughuli aisee.Ndugu yangu ushaambiwa ni mbumbumbu hawa hawezi kuwaza kiundani. Kwanza wangetafakari maneno ya mwanzo tu ya huyo kocha wasingeunga mkono ule ubaguzi. Alimwambia mwandishi "I'm not enjoying your country, you are uneducated people" hata mwandishi sijui kwa nini hakumkemea walau kwa kibao japo mimoja
π Hakika.Siyo kosa lao hawa Akili zao zimetawanyika sana, zikija kujikusanya wakatafakari na kuelewa watamaindi sana!
Cha ajabu ka huyo hata hawamwoni.Florent Ibenge Wa AS Vita ni mwalimu mzuri sana shida yake hakawii kumleta zahera kama msaidizi wake mana ni maswahiba sana
Uwiiii!! Kumbe Molinger ni mwanangu wa kumzaa kabisa. π€ Lol πView attachment 1523100Shadeeya njoo umsikie Molinga hukuπππ
Hivi wanapataga raha gani kujidogodesha eti?View attachment 1523100Shadeeya njoo umsikie Molinga hukuπππ
ππ Wacha iwauweeee.Dah! Mambo gani haya!
View attachment 1522697
Yaani yupo kama mwanangu wa pili Mtani. Lol.Hahaaa aisee hapo alipo ana 22?
ππ
Ili wacheze muda mrefu,huyu ukimkadiria ana 29-33 kabisaHivi wanapataga raha gani kujidogodesha eti?
πππUwiiii!! Kumbe Molinger ni mwanangu wa kumzaa kabisa. π€ Lol π
Simu ee subiri msimu uanze ndio utajua kuwa maharage ni mboga.πNdio unaongea na simu Mtani. ππππ
#Kilasikusiojumamosiweweee
Tuachane na huyo babu kijana, hivi mkuki wa sumu ameshapata dhamana?πYaani yupo kama mwanangu wa pili Mtani. Lol.