Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wamezage tu wembe wale wasiopenda.

Japo najisemea kabla hatujaendelea ingependeza tukampata kocha kwanza. Sababu ninahakika haya yalikuwa mapendekezo ya Luc Emayel.
Kwasasa hivi inabidi iwe hivyo tuu. Kwani kocha akija hata sasa hivi hataweza kufatilia mchezaji yeyote. Ligi imekwesha
 
MBUMBUMBU wanatoa povu tu huko. [emoji23][emoji23][emoji23]
manyani wanashangilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wengine wanabweka kama ubwa...mbelijiji mbelijiji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…