Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hapa ndipo viongozi wanapochemka. Akija kocha wote hao kwakwe wanakuwa hawafiti.
Mkuu,,Soka ni mchezo wa mfumo na kila kocha ana falsafa yake ya ufundishaji na Mfumo wake.
Unasajili wachezaji kwa mapendekezo ya nani Yanga sasa hivi haina Kocha mkuu wala Kocha msaidizi si uhuni huu.
 
Mkuu,,Soka ni mchezo wa mfumo na kila kocha ana falsafa yake ya ufundishaji na Mfumo wake.
Unasajili wachezaji kwa mapendekezo ya nani Yanga sasa hivi haina Kocha mkuu wala Kocha msaidizi si uhuni huu.
Ndiyo maana kuna kamti ya ufund. Huyo mwenyekiti wa Yanga tu ni kocha wa UEFA. Yaani, mwalimu wa makocha.
Tulia sindano iingie vizuri.
 
Yanga wamesha sajili wachezaji 4 lakini cha ajabu Shabiki alialia wa Yanga wa JF Shadeeya mpaka sasa yupo kimya ni kama vile bado kipigo cha goli 4 kinamvuruga sana huyu mwana mama.
Goli 4 Nyingi Jamanii Acheni Masiharaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Binafsi nimeumia kuachwa Ngasa
Ngasa,juma abdul,yondani wote hawa ni malegend but tofauti ya Ngasa na wenzake ni kuwa yeye alishahama kwenda timu nyingine kama azam na simba hivyo imemuondolea hiyo sifa ya kubaki kwa heshima.
 
Kusema kweli Game changer Master shibobo Uncle Ngassa imeniuma mnoo kumtema Huyu Mwamba wa Ziwa Victoria!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…