Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Presha itakuwepo tuUzuri haya mambo huwa yanakuja na kupita Mtani hivyo wala hatuna presha.
Hahahaaaa. Morison kwiiioo. π
Mtani Don Clericuzio hizi ndo kauli zenu sasa juu ya Morison. π
Mtani Sanchez hivyo unamsafisha huyo hamnazo. Duh
Hao wote mtawasahau Champions League uwezo wao upo VPL tu.Presha itakuwepo tu
Huku Morrison Kule konde boy katikati yako chama kwanini presha isiwepo.
Uko sub nje kuna watu kama kahata,kanda, dillunga, miraji athumani.
Afu kwanini huyu jamaa anawauma sana wakati hana nidhamu mtani
Sawa MtaniHahaha, ndo ieleweke hivyo sasa Mtani.
Hutaki unaacha.
Hahahaha, mtani usiwaze hivyo hii MICHEZO huwa inachezwa sana tuHao wote mtawasahau Champions League uwezo wao upo VPL tu.
Unadhania Morison kaniuma sana basi, najikuta tu naumia kwa kutokuuelewa uongozi uliopo sasa pamoja na hao jiesiemu kwani walituaminisha ambayo sio japo waeza sema la Morison lipo tiefuefu na la Tshishimbi je, hapa ndio nawaona wasanii tu na si ajabu kuna wamejazana mamluki mule na lengo ni kuipoteza Yanga mana sio bure aisee.
Na hii ndo shida tuliyo nayo sasa Mtani hatuna viongozi wajanja wajanja pia kukosa mkwanja nako pia ni tatizo.Hahahaha, mtani usiwaze hivyo hii MICHEZO huwa inachezwa sana tu
Hapo watu wamezidiana ujanja ila yana mwisho wake
Inawezekana yanga ya sasa haina wajanja wa mpira watu km akina bin kleb, akina seif magari hawa kona kona wanajua za usafiri
Tofauti na Simba kuna akina magori,Hans na wengine wengi wajanja wa soka la bongo
Sasa yanga hii iliyopooza viongozi akina hersi ,Yanga ambayo hata uongozi tu hauko pamoja kivile sidhani km wataleta ushindani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ndo shida tuliyo nayo sasa Mtani hatuna viongozi wajanja wajanja pia mkwanja nao ni tatizo.
Hahahaha ,huwa ni kwann ?Simba na Yanga ni mara chache sana zote kukawa na amani kwa wakati mmoja.
Huwa kukiwa na amani huku, kwingine kunawaka moto.
Inaeza kuja kuwezekana Mtani hasa pale na sisi Yanga tutakapoingia kwenye mabadiliko na tukawa tunajiendesha kisasa ni lazima tutasimama.Simba na Yanga ni mara chache sana zote kukawa na amani kwa wakati mmoja.
Huwa kukiwa na amani huku, kwingine kunawaka moto.
Aaah!!! haya ni yenu.mlimtapeli sijui mlimpiga juju
Hahahaha mkwanja Upo ila waliokua nao si watoaji wale shemeji zangu wangoni Jiesimu ni wafanyabiasharaNa hii ndo shida tuliyo nayo sasa Mtani hatuna viongozi wajanja wajanja pia mkwanja nao ni tatizo.
Ni kweli usemayoSijui aisee, we jaribu kuangalia, haitokei mara nyingi wote tukawa na amani msimu mzima.
Inaeza kuja kuwezekana Mtani hasa pale na sisi Yanga tutakapoingia kwenye mabadiliko na tukawa tunajiendesha kisasa ni lazima tutasimama.
Hili jambo mlisahau kwasasa, inaweza katika miaka mitano mko hv hv kama mlivyoInaeza kuja kuwezekana Mtani hasa pale na sisi Yanga tutakapoingia kwenye mabadiliko na tukawa tunajiendesha kisasa ni lazima tutasimama.
Hahahaha, Yanga huwa nawafananisha na timu moja Congo inaitwa Fc Lupopo ,ina usiasa wa chama ndani yakeYanga ni ngumu kumpa timu mtu kama alivyofanya Simba kwa sababu Yanga ni tawi la chama.
Ukisema umkabidhi mtu timu halafu akawa ni wa mrengo tofauti na wa chama italeta shida.
Fatilia vizuri, hata Manji kipindi kile baada ya kuona hilo ndo kuamua kugombea udiwani kupitia chama ili apate nguvu, ila tayari plan ya kumtoa ilikuwa mezani.
Haiwezi tokea kukawa na Amani pande zote, Kwa sababu kama Yanga watakua wazuri inamaana watafanya vizuri uwanjani na kuchukua ubingwa, ko kwa Simba haiwezi kua na Amani, Afu ukiangalia sisi mashabiki ndo watu tunaovuruga Amani sana, tunahitaji vikubwa bila kuangalia hata uwezo wa timu kiwachezaji na kipesa kwa wakati huo.Sijui aisee, we jaribu kuangalia, haitokei mara nyingi wote tukawa na amani msimu mzima.
Hahahaha, Yanga huwa nawafananisha na timu moja Congo inaitwa Fc Lupopo ,ina usiasa wa chama ndani yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, na ishavikwa timu ya wananchi ,hapo ktk Wana NCHI hapo ndio penyeweUkitafuta historia ya hizi timu utaona moja ya agenda za nyuma ya pazia ilikuwa ni kujadili issue za ukombozi, kutafuta uhuru.
Sasa hili la wanasiasa kukomaa na timu yao limeendelea kuwepo mpaka leo.
Kwa hiyo jamaa kumkabidhi mtu timu ni ngumu sana.
Hahahaha, na ishavikwa timu ya wananchi ,hapo ktk Wana NCHI hapo ndio penyewe
Sent using Jamii Forums mobile app