Haya mambo buanaaa!! I hop tunaenda kusimamisha nchi kwa mudaPicha Linaendelea......Acha Nchi itikisike tuView attachment 1532218
Piga pale pale kwenye injini View attachment 1532275
Hivi wako wapi hawa waliokuwa wanatunyima usingizi inamaana hawajakiona hiki mbona hawajatia neno?Usisahau mtendaji mkuu wa mikia kajiuzulu.
Hahahaaa. Kachoka Umbumbumbu.Amechoka uswahilini wakina Mwamedi
Hahahahaaa. Hii tumepiga teke la chembe ya moyo. 😂Haya mambo buanaaa!! I hop tunaenda kusimamisha nchi kwa mudaView attachment 1532264
Kama nawaona wanavyochungulia huu uzi na kusepa. 😂😂😂😂Piga pale pale kwenye injini View attachment 1532275
Hii tuseme tumemwaga nini eti mana si ugali. 😂😂😂😂Kweli hiki ni kipigo cha mbwa kokoView attachment 1532282
Nakazia. 🤣🤣Wakileta za kuleta tunmsainisha na Mwamedi... Au wanabisha
TUTAELEWANA TU KIDOGO KIDOGO. [emoji1787][emoji1787]
Walitucheka jana sisi kuandika barua na wao leo wameshaandika yao. 😂😂Wacha tuoneshane makali [emoji1787]
Hahahahahahahahah.........Simba ni Taasisi kubwa Shadeeya kujiuzulu kwake haijalishi na wala haituumizi Je,angekufa na Simba ingekufa?? Hatuna muda wa kumuwazia mtu sisi Simba .Hivi wako wapi hawa waliokuwa wanatunyima usingizi inamaana hawajakiona hiki mbona hawajatia neno?
Sesten Zakazaka
Troisième Ceil
Penison
Van pebles
Sanchez magoli
Don Clericuzio
Faru Kabula
Albinoomweusi
bila kumsahau yule mjingamimi.
Kimenuka jamani huko eeee. 🤣🤣🤣
Makali ya timu ni kwenye pitch tu sio vinginevyoWacha tuoneshane makali [emoji1787]