Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nimesikitika Sana..Simba bado Kuna Mambo ya kishamba..japo Morrison Ni mchezaji mzuri lakini kumpoteza Senzo Ni ujinga wa kiwango Cha juuu..shenzyyyy zao!!!
 
Nimesikitika Sana..Simba bado Kuna Mambo ya kishamba..japo Morrison Ni mchezaji mzuri lakini kumpoteza Senzo Ni ujinga wa kiwango Cha juuu..shenzyyyy zao!!!
Wanajifariji tu lakini huyu jamaa ameibadilisha sana Simba.
 
Manara ndio anafanya majukumu ya CEO pale mikiani, ndio think tank ya mbumbumbu ile [emoji1787]
Ni maneno mazuri lakini kama mtu muhimu kwenye timu asikubali uhuni wa Manara uongoze timu hata kwa asilimia 5.
 
Kama uongozi tu umeshituka wewe ni nani Mtani hadi usishituke? πŸ˜‚
Nazungumzia pengo lake, si nafasi ya kushtua. Lakini hapo uongozi umezungumzia kushtushwa namna alivyoondoka, kwamba hakukabidhi ofisi, hilo ndilo linaloshtua maana anaweza kuondoka na mihuri 😁
 
Nazungumzia pengo lake, si nafasi ya kushtua. Lakini hapo uongozi umezungumzia kushtushwa namna alivyoondoka, kwamba hakukabidhi ofisi, hilo ndilo linaloshtua maana anaweza kuondoka na mihuri 😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mihuri hiyo Kwiiiio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Simba ni zaidi ya SENZO.
alikuwepo pale kama boya tu lakini mambo yote yalikuwa yanafanywa na SIMBA WENYEWE.
na huwezi kuona pengo lake.
Swali la msingi mnampa cheo gani hapo yanga.?.
Vipi mshindo msola nafasi yake?
Nimesikitika Sana..Simba bado Kuna Mambo ya kishamba..japo Morrison Ni mchezaji mzuri lakini kumpoteza Senzo Ni ujinga wa kiwango Cha juuu..shenzyyyy zao!!!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Leo lazima walazwe. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ongeza bundle ndugu yangu, wametuchokoza wenyewe. Clatous Chota Chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa fundi, Deo Kandaaaaaaaaaaaa, Sure boy, Farid Musa
 
Tulia mtani dawa iingie hatujamaliza dose ya chloroquine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…