Morrison ni mchezaji, Senzo ni mtendaji. Usajili unaofanyika ni wa wachezaji, watakaoingia kwenye pitch ni wachezaji. Mtendaji anaajiriwa muda wowote hata mwisho wa msimu, na wala haingii dimbani kucheza. Unaona Simba wanatafuta Kaimu Mtendaji, sasa je Yanga watatafuta Kaimu Morrison?
Weeeeee!!! Mtani hivyo Morison ni chuma?Huyo senzo ni kiongozi.
Haingii uwanjani. Hauwezi kulinganisha thamani ya morrison na senzo.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Oooh!! Basi tutamaliza na hao hao Mazembe. Teh tehDeo Kanda sio mchezaji wa Simba tena alikuja kwa mkopo wa mwaka 1 umeisha amerudi kwao.
Weeeeee!!! Mtani hivyo Morison ni chuma?
Mbili moja, umesahau na MwamnyetoNAWAKUMBUSHA TU MPAKA SASA GOLI NI MOJA KWA MOJA. π€£π€£π€£
MCHEZO BADO UNAENDELEA. TEH TEH.
Nadhani ni swala la muda tu mtani kwani tunayoyapitia hiyo ndio itakuwa suluhisho.
Morrison ni mchezaji, Senzo ni mtendaji. Usajili unaofanyika ni wa wachezaji, watakaoingia kwenye pitch ni wachezaji. Mtendaji anaajiriwa muda wowote hata mwisho wa msimu, na wala haingii dimbani kucheza. Unaona Simba wanatafuta Kaimu Mtendaji, sasa je Yanga watatafuta Kaimu Morrison?
Naachaje kwa mfano. πππOngeza bundle ndugu yangu, wametuchokoza wenyewe. Clatous Chota Chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa fundi, Deo Kandaaaaaaaaaaaa, Sure boy, Farid Musa
Nimekupata Kaka. πWaambie tumesajili aliekua anasajili wachezaji Simba
Zamu yao kutulizwa leo. πππWacha tuoneshane makali [emoji23]View attachment 1532409
Wataomba poo walianza wenyewe ,[emoji16][emoji16][emoji16]Naachaje kwa mfano. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ooohh. Sawa.Alikuwa simba kwa mkopo
Tena alikuwa anasajili kimya kimya. πππ ukija kushituka mtu keshatua.Sie tumesajili aliekua anasajili wachezaji Simba
Tuko tayari kubadilika Mtani.Nani kasemaa?..
Huyo senzo huyo mtashindwana ninyi bado mna mambo ya uswahili vinginevyo mkubali kubadilika.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Chama tangu mwezi April mnasema mnamsajili mpaka leo AugustNaachaje kwa mfano. πππ