Jamani amtokeo ya Kigali yakoje?.........Mbona kimya?
Kumbe mnyama anaongoza safi sana.Mnyama anaongoza kwa goli 1
Tunashambuliwa sasa......
Tumefanya uzembe wenyewe................Mwape na Asamoah wamekosa magoli ya wazi kabisa.........Sijui ni kwa nini Papic anawaweka benchi Jery Tegete na Pius KisambaleMnh ....jamani Yanga eeeeeeeeeeeeh yangaaaaaaaaaaaa
Mnyama anaongoza kwa goli 1
Tumefanya uzembe wenyewe................Mwape na Asamoah wamekosa magoli ya wazi kabisa.........Sijui ni kwa nini Papic anawaweka benchi Jery Tegete na Pius Kisambale
Namba 9 wa maana tunaye mzuri sana......Yupo Pius Kisambale,dogo ni mzuri sana......Tatizo ni kocha,anawapendelea wachezaji aliwaleta na kuwasajili(Mwape na Asamoah) ambao ni magarasa...Mmekosa namba 9 wa maana pale mbele. Mmepoteza nafasi nyingi sana.
Halafu,Athuman Idd siku hizi amekua beki?!
gemu over au bado..
Dakika 5 za nyongeza......gemu over au bado..
Namba 9 wa maana tunaye mzuri sana......Yupo Pius Kisambale,dogo ni mzuri sana......Tatizo ni kocha,anawapendelea wachezaji aliwaleta na kuwasajili(Mwape na Asamoah) ambao ni magarasa...
Athumani Idd ni beki namba 5 wa asili.......Akiwa Polisi Dodoma alikuwa akicheza namba 5 na Simba walimajili kutokana na umahiri wake katika nafasi hiyo.......Simba ndio walimbadili kucheza DM