Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga mtajutia nafasi zaidi ya 10 mlizopoteza! Yanga ingepaswa iwe inaongoza hata kwa goli 4!

Sasa kwa matokeo haya,hakika mmeshapoteza. Jamaa walivyo na fitna,sijui game ya pili mtatokaje.

Hakika ningependa sana Yanga ishinde,lakini wananisikitisha.
 
Anaingia Oscar Joshua anatoka Stephano Mwasyika.....

Safi sana Papic........Sub ya akili hii....Mwasyika bado hajawa fit..
 
Zmalek wanapoteza muda.....................Lol

Golikipa na beki wapo chini....
 
Mnh ....jamani Yanga eeeeeeeeeeeeh yangaaaaaaaaaaaa
Tumefanya uzembe wenyewe................Mwape na Asamoah wamekosa magoli ya wazi kabisa.........Sijui ni kwa nini Papic anawaweka benchi Jery Tegete na Pius Kisambale
 
Mmekosa namba 9 wa maana pale mbele. Mmepoteza nafasi nyingi sana.

Halafu,Athuman Idd siku hizi amekua beki?!
Namba 9 wa maana tunaye mzuri sana......Yupo Pius Kisambale,dogo ni mzuri sana......Tatizo ni kocha,anawapendelea wachezaji aliwaleta na kuwasajili(Mwape na Asamoah) ambao ni magarasa...

Athumani Idd ni beki namba 5 wa asili.......Akiwa Polisi Dodoma alikuwa akicheza namba 5 na Simba walimajili kutokana na umahiri wake katika nafasi hiyo.......Simba ndio walimbadili kucheza DM
 
Aaaah ndo basi tena! Hao wameshasoma mchezo wa Yanga. Ilibidi tubadilike pia kutibua plan zao. Aaah kocha weee!
 
Hivi lile ombi la lenu Yanga kucheza mechi moja (kutokana na fujo za Misri) lilikubaliwa? Droo itakuwa haitoshi ..
 
Huyu Asamoah hovyo kabisa......Asamoah ametukosesha magoli mengi sana leo.....

Tunawashambulia....Kipa anadaka

Zamalek wanapoteza muda tu.....Walitaka droo na wameipata
 
Namba 9 wa maana tunaye mzuri sana......Yupo Pius Kisambale,dogo ni mzuri sana......Tatizo ni kocha,anawapendelea wachezaji aliwaleta na kuwasajili(Mwape na Asamoah) ambao ni magarasa...

Athumani Idd ni beki namba 5 wa asili.......Akiwa Polisi Dodoma alikuwa akicheza namba 5 na Simba walimajili kutokana na umahiri wake katika nafasi hiyo.......Simba ndio walimbadili kucheza DM

Ok.
Wakati mwingine makocha uwa wanakosea mahesabu yao.

Mh! Kama ameshaacha kucheza namba 5 toka akiwa Polisi,sasa huoni kama kocha kachemsha? Au toka arudi tena Yanga ndio anacheza namba hiyo?
 
Back
Top Bottom