Hakika Mkuu. Ni mwendo wa kuumizana tu.
Kweenddraaaaaaa. ππππChama tangu mwezi April mnasema mnamsajili mpaka leo August
Labda msajili chama cha ACT Wazalendo
Ni kweli hilo nadhani tumejifunza Mtani.Ila muache tabia ya kusajili wachezaji wazuri kwa mkataba wa miezi 6.mtakuja kuuana kwa preshaa.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Umejua kunichekesha. Lol.Ziba pua hizo wewe Shadeeya kama kimenukaπ·,
NB:Mimi bado sijapatwa na harufu
Wachaaaaa!!! "Vice versa is turuuuuu" π
Ewaaaaa. Up to now izz 2 - 1. πMbili moja, umesahau na Mwamnyeto
Umejikaza sana!!Naona GSM wana wapoooza MACHUNGU.
Hii ya morrison itawauma mpaka mnakufaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hebu muwe mna jali mioyo na afya za wenzenu basi!Clatous Chota Chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ana matamanio mabaya sana huyu. Sisi hatupo tena huko!You wish [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Hawa ni mbumbumbu hata huo msamiati Wa "Think tank" wataulizana hadi kesho na wasipatiane maanaManara ndio anafanya majukumu ya CEO pale mikiani, ndio think tank ya mbumbumbu ile [emoji1787]
Ni zamu ya mioyo yao kufyatuka sasa. ππHebu muwe mna jali mioyo na afya za wenzenu basi!
Kati ya back-to-back za ubingwa misimu mitatu, misimu miwili Simba imechukua bila ya kuwapo Senzo. Simba imefuzu group stage, ikashika namba mbili katika group, ikacheza robo fainali ya kombe la CAF Champions League, Senzo hakuwapo. Sasa hapo chozi litalenga kwa msingi upi? Hii ni post ambayo ilitangazwa, watu wakaomba na Senzo akapata. Vivyo hivyo wapo watakaoomba na atapatikana CEO. Wenzenu wanasajili wachezaji, ninyi mnasajili CEO ambaye angeweza akajiunga muda wowote tuUmeongea kwa uchungu sana [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Mpaka hapa nilipo machozi yamenilenga na mimi [emoji28]
Pole sana umechanganyikiwa hadi hujui unaongea niniKabla ya kumchukua senzo mngejiuliza kwanza mlikosea wapi kwa morrison..mmechukua maamuzi wakati Mna HASIRA ITAWAGHARIMU BAADAE..
HAYA NIAMBIE SENZO ANAENDA KUCHEZA NAMBA NGAPI HAPO YANGA?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ongezeni mawili ili msawazishe zile 4-1 za uwanjani π π πMbili moja, umesahau na Mwamnyeto
Kiongozi mimi Ni Simba..Senzo Ni mtu makini nakwambia Kama alikuwa hana kazi Kama unvyosema tungemfukuza kitambo Sana..mbona alitimuliwa uchebe..Simba ni zaidi ya SENZO.
alikuwepo pale kama boya tu lakini mambo yote yalikuwa yanafanywa na SIMBA WENYEWE.
na huwezi kuona pengo lake.
Swali la msingi mnampa cheo gani hapo yanga.?.
Vipi mshindo msola nafasi yake?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Umecjanganyikiwa sana,vipi Senzo tumemalizana na ninyi!?Deo Kanda ni mchezaji wa Tp mazembe kama mnataka kumsajili Malizaneni na Mazembe na sio Simba.
Yaani ni ile SIMFAHAMU MTU HUYU!!Yamekuwa hayooo mmeshaanza kumkana. lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Hatari.Yaani ni ile SIMFAHAMU MTU HUYU!!