Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Umeongea kwa uchungu sana [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Mpaka hapa nilipo machozi yamenilenga na mimi [emoji28]
Kati ya back-to-back za ubingwa misimu mitatu, misimu miwili Simba imechukua bila ya kuwapo Senzo. Simba imefuzu group stage, ikashika namba mbili katika group, ikacheza robo fainali ya kombe la CAF Champions League, Senzo hakuwapo. Sasa hapo chozi litalenga kwa msingi upi? Hii ni post ambayo ilitangazwa, watu wakaomba na Senzo akapata. Vivyo hivyo wapo watakaoomba na atapatikana CEO. Wenzenu wanasajili wachezaji, ninyi mnasajili CEO ambaye angeweza akajiunga muda wowote tu
 
Timu bado inaendeshwa kipambe [emoji1787], otea mpambe wa kwanza hapa ni nani h
Screenshot_20200809_202113_com.instagram.android.jpeg
 
Simba ni zaidi ya SENZO.
alikuwepo pale kama boya tu lakini mambo yote yalikuwa yanafanywa na SIMBA WENYEWE.
na huwezi kuona pengo lake.
Swali la msingi mnampa cheo gani hapo yanga.?.
Vipi mshindo msola nafasi yake?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kiongozi mimi Ni Simba..Senzo Ni mtu makini nakwambia Kama alikuwa hana kazi Kama unvyosema tungemfukuza kitambo Sana..mbona alitimuliwa uchebe..
Binafsi sijapenda kuondoka kwake..Kama wewe umefurahi Ni sawa kwako..
Lakini kuondoka kwakwe Tena kwenda Yanga Ni ujinga mkubwa na ushenzy viongozi wa Simba wamefanya..
Huu Ni mwanzo ujinga mwingi unakuja..endelea kuwatetea..Kuna siku si nyingi utakumbuka haya maneno
 
Back
Top Bottom