Yanga kwishney, hizo lambalamba hamuziwezi kabisa. Mumepigwa Mapinduzi , mumepigwa friend match na leo munapata kipogo cha tatu ndani ya miezi 2
Ili marefa watie adabu.
Wary not, Yanga still having a good team: ''line up is not bad''.Here's Young Africans Sporst Club line-up facing African Lyon today.
1.Said Mohamed - 30
2.Godfrey Taita - 17
3.Oscar Joshua - 4
4.Chacha Marwa -24
5.Bakari Mbegu- 12
6.Ibrahim Job- 25
7.Shamte Ally- 15
8.Shadrack Nsajigwa -2
9.Davies Mwape -28
10.Kenneth Asamoah -26
11.Kiggi Makasi -7
Substitutes:
1.Shaban Kado - 1
2.Abuu Ubwa - 21
3.Idrisa Rashid -14
4.Zuberi Ubwa - 22
5.Pius Kisambale -11
NB:
Haruna Niyonzima anatumikia adhabu ya kukosa mechi moja kwa kuonyeshwa kadi nyekundu
Hamis Kiiza & Athuman Iddy Chuji nao pia wanakosa mechi moja kwa kuonyeshwa kadi 3 za njano, wachezaji hawa 3 watarudi uwanjani kuitumikia timu yao siku ya jumamosi katika mchezo dhidi ya Villa Squad
Anapumzika......Said Mohamed naye ni mchezaji kama walivyo Kado na Berko so anastahili kucheza.......vipi mboni kado mumemuweka benchi..
Anapumzika......Said Mohamed naye ni mchezaji kama walivyo Kado na Berko so anastahili kucheza.......
Yanga kila mchezaji ana nafasi bana.....Said Mohamed ndio aliwabania Ubingwa Simba mwaka jana......
Anapumzika......Said Mohamed naye ni mchezaji kama walivyo Kado na Berko so anastahili kucheza.......
Yanga kila mchezaji ana nafasi bana.....Said Mohamed ndio aliwabania Ubingwa Simba mwaka jana......
Half Time......
Yanga 1-0 African Lyon
Goli limefungwa na Kigi Makassy dakika ya 43
ngoja tuone msije kutoa droo tu..
droo wanatoa simba kwa toto
obina kakosa goli la wazi..
....atakosa hadi filimbi ya mwisho kama walivokosa akina okwi wenu dhidi ya toto hadi wakaanza kuonyesha mambo ya kishirikina wazi wazi. shame!