mambo ya kuchangia kwa bakuli yameshapitwa na wakati, mim kama mwanachama nachangia club yangu kwenye kulipia card, kuingia uwanjan na kununua jezi na vitu vingine vya club! viongozi aina ya Musola hawahitajiki karne hii ya kidigitali.Inapoitwa timu ya Wananchi wewe kama Mwananchi ni lazima uwajibike changia klabu yako Acha ujanja ujanja.
Mwenyekiti hazingui mtani yeye ndo anaijua vizuri account ya Utopolo.Mwenyekiti anazingua.
Timu ya Wananchi hii Mwananchi lazima uichangie timu yako kwa njia yoyote ile njia za kuchangia klabu zipo nyingi hata kuchangia kwa bakuli ni njia mojawapo Mkuu.mambo ya kuchangia kwa bakuli yameshapitwa na wakati, mim kama mwanachama nachangia club yangu kwenye kulipia card, kuingia uwanjan na kununua jezi na vitu vingine vya club! viongozi aina ya Musola hawahitajiki karne hii ya kidigitali.
Sijapinga kuchangia, nnachopinga ni aina ya uchangiaji mkuu, haiwezekan timu kubwa kama yanga inayoongozwa na viongozi wanajiita wasomi, wanashindwa kufanya mambo yao kisomi kwa kuweka system ya kisasa na kuhamasisha wanachama wao walipie ada za card, wasajili wanachama wapya, watumie usomi wao kuongeza thaman ya club, timu ipate wadhamin bora nk, na sio kuhamasisha mashabiki waichangie timu kienyeji kama misiban au ombaomba mitaan.Timu ya Wananchi hii Mwananchi lazima uichangie timu yako kwa njia yoyote ile njia za kuchangia klabu zipo nyingi hata kuchangia kwa bakuli ni njia mojawapo Mkuu.
SanaaaaaaaaaImetulia tuliiView attachment 1546007
Mchele mchele fc haoooHuyu jamaa ni mzima kweli!!!!?
Mi nilidhani ni yule roporopo tuu kumbe haka kamchezo hata big boss!!View attachment 1545762
Una roho ngumu mkuu, timu zako zote utopolo[emoji1787]Sanaaaaaaaaa
Heee!! Sasa nanunua jezi ya nini, nalipia App kila mwezi 2000, naingia uwanjani Mtani bado wanataka nichange nini hapo?Inapoitwa timu ya Wananchi wewe kama Mwananchi ni lazima uwajibike changia klabu yako Acha ujanja ujanja.
Hata mie nashangaa ujue nadhani ni mbinu za kujipatia kipato tu hapo na si kingine.Sijapinga kuchangia, nnachopinga ni aina ya uchangiaji mkuu, haiwezekan timu kubwa kama yanga inayoongozwa na viongozi wanajiita wasomi, wanashindwa kufanya mambo yao kisomi kwa kuweka system ya kisasa na kuhamasisha wanachama wao walipie ada za card, wasajili wanachama wapya, watumie usomi wao kuongeza thaman ya club, timu ipate wadhamin bora nk, na sio kuhamasisha mashabiki waichangie timu kienyeji kama misiban au ombaomba mitaan.
Ahsante!! Nimeipokea kwa mikono miwili kejeli yako Mtani. πMwenyekiti hazingui mtani yeye ndo anaijua vizuri account ya Utopolo.
Acha tu tuchangie mtani mi namuunga mkono mwenyekiti. Mi nawaunga mkono watani zangu tupeni namba tuchangie
Mchagie hela Mwenyekiti wako mtoto wake anahitaji ada ya shule.Heee!! Sasa nanunua jezi ya nini, nalipia App kila mwezi 2000, naingia uwanjani Mtani bado wanataka nichange nini hapo?
Hii hapana kwa kweli.
Heee!! Sasa nanunua jezi ya nini, nalipia App kila mwezi 2000, naingia uwanjani Mtani bado wanataka nichange nini hapo?
Hii hapana kwa kweli.
Lol. Kwa hili ili kupata mpunga wetu inabidi atuweke sawa hasaaa.Mchagie hela Mwenyekiti wako mtoto wake anahitaji ada ya shule.
hamna viongozi pale!Msola ashauriwe, siyo lazima kukamilisha wachezaji 10, GSM wamesajili kwa kuziba mapungufu yote ya kikosi na wamefanya hivyo ili kusiwe na maproo wa kukaa benchi na kuongezea club gharama, sasa Msola kakurupuka huko na kuanza kuhamasisha michango ya kuongezea timu mzigo, ukifika mda wa kuwalipa hao maproo anakimbia!
Msola ashauriwe, siyo lazima kukamilisha wachezaji 10, GSM wamesajili kwa kuziba mapungufu yote ya kikosi na wamefanya hivyo ili kusiwe na maproo wa kukaa benchi na kuongezea club gharama, sasa Msola kakurupuka huko na kuanza kuhamasisha michango ya kuongezea timu mzigo, ukifika mda wa kuwalipa hao maproo anakimbia!
Na huyu ni naniKesho huyu mtoto anaweza kutua na tukaenda kumbeba mgongoni kabisa Mana hata kwa kumuangalia tu kwa you tube kuna kitu kikubwa sana unaweza kukiona kwake. Mimi binafsi nime approve![emoji16][emoji16]View attachment 1546898