Amini nakuambia ile performance ya siku ile siyo ishu hii timu inakwenda kuwa nzuri sana zaidi ya pale!Sio lazima uelewa saivi, hata baadae utaelewa tu, na ww screenshot vile vile
The thing is, sio muda gani wamekaa pamoja, ila je, maandalizi ya michezo yenu yatakua sawa na haya? je, wachezaj watakua na hii performance? ukumbuke, wachezaj wote walienda prove something kwamba wanastahili kuvaa uzi wa Yanga.. so naamn walijitoa 100% .. kinachosikitisha ni aina ya matokeo mliyopata, matokeo hafifu kwenye ubora wenu , mechi nyingine ambayo inaweza kua na haya maandiliz labda ni mechi vs Simba.. tofaut na hapo hakuna
Hiyo wala haikua yako, yako naona umeamua iruka, umeikumbia kabisaHizi zako ni dhana Mtani.
Nadhani tusiandike kwa mazoea cha zaidi tusubirie ligi ikishaanza na sio kuhukumu kwamba maandalizi yaliyofanyika juzi hayaezi fanyika tena. Umejuaje?
Hebu acha utaniMtani nimeelewa hiyo vyote kwa pamoja tu ila huko kungine nimetoka kapa mana umeniingiza vichakani. [emoji23][emoji23][emoji23].
Matokeo hafifu kivipi? Tumecheza na timu ambayo siyo underdog ulitegemea tushushe mvua ya magoli kama nyie mlichofanya kwa yule underdog? Fuatilia ile timu huko kwao usidhani ni kama Vital O wale.Sio lazima uelewa saivi, hata baadae utaelewa tu, na ww screenshot vile vile
The thing is, sio muda gani wamekaa pamoja, ila je, maandalizi ya michezo yenu yatakua sawa na haya? je, wachezaj watakua na hii performance? ukumbuke, wachezaj wote walienda prove something kwamba wanastahili kuvaa uzi wa Yanga.. so naamn walijitoa 100% .. kinachosikitisha ni aina ya matokeo mliyopata, matokeo hafifu kwenye ubora wenu , mechi nyingine ambayo inaweza kua na haya maandiliz labda ni mechi vs Simba.. tofaut na hapo hakuna
Mtani hii tabia ya kupiga mashabiki wa timu zingine mmeitoa wapi ?
Ni nyinyi mlimpiga wa kwetuMtani hii tabia ya kupiga mashabiki wa timu zingine mmeitoa wapi ?
Tukiamua kulipiza kisasi mtaweza ?
Tukiamua tunauwezo wa kuwapiga uwanjani na makofi tutawapiga vizuri tu.
Jaribuni kuwa wastaarabu huu ni mpira tu siyo uadui.
Ndo hivyoooSura za kiume si eti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atatufaa sana!! Moja ya watu wataopata nae tabu ni Simba!YACOUBA SOGNE .....Rekodi yake akiwa Asante kotoko
Mechi 26
Goli 6
Assist 3
Amekabidhiwa jezi namba 10 na timu yake mpira ya Yanga.
Wananchi tumepigwa hapa tayari.
Kwakwel kijani na njano zinavutia sana, nyekundu na nyeupe tuwaachie waganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeidhinisha hii!Kwakwel kijani na njano zinavutia sana, nyekundu na nyeupe tuwaachie waganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee mwenzangu nasikia sasa umekamilikaNimeidhinisha hii!
Mtani huwa upo hapa Mjini? Unaendaga Uwanjani hasa mechi za Simba na Yanga? Yana ugeni gani hayo?Mtani hii tabia ya kupiga mashabiki wa timu zingine mmeitoa wapi ?
Tukiamua kulipiza kisasi mtaweza ?
Tukiamua tunauwezo wa kuwapiga uwanjani na makofi tutawapiga vizuri tu.
Jaribuni kuwa wastaarabu huu ni mpira tu siyo uadui.
Waseme tu wametuwahi kupost basi ili tu kuzima habari za siku ya Mwananchi tubakie kujadili aliyechaniwa derra. πππNi nyinyi mlimpiga wa kwetu
Nasikia wamevumisha kalinyo ana mkataba wa miezi sita ili wammendeee.Atatufaa sana!! Moja ya watu wataopata nae tabu ni Simba!
Sawa Mwl Kashasha. πYACOUBA SOGNE .....Rekodi yake akiwa Asante kotoko
Mechi 26
Goli 6
Assist 3
Amekabidhiwa jezi namba 10 na timu yake mpira ya Yanga.
Wananchi tumepigwa hapa tayari.
Haswaaaa. πππKwakwel kijani na njano zinavutia sana, nyekundu na nyeupe tuwaachie waganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji153]Haswaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona jezi zao hizi mpya ile red wanaanza kuikimbia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wameeka mrangi flani hivi wenye njano kwa mbaali. [emoji2089][emoji2089]
Ubunifu ZERO. π π[emoji28][emoji28][emoji153]
Ile timu ina point 48.. Vitalo ana point 44..Matokeo hafifu kivipi? Tumecheza na timu ambayo siyo underdog ulitegemea tushushe mvua ya magoli kama nyie mlichofanya kwa yule underdog? Fuatilia ile timu huko kwao usidhani ni kama Vital O wale.
Pia wale wachezaji tayari wana skills ivyo ni rahisi kwa kocha kuingiza mfumo na kueleweka. Wewe pale unaona tumefanya maandalizi makubwa ila nahisi bado hujajua kwamba kilichotokea pale ni maandalizi ya tamasha na sio mpira uliochezwa. Nakuambiaje kama unahisi ndio tumeishia pale basi bado hujaiona Yanga yenyewe. Pale hata trela bado sasa sipati picha kamili likoje.
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app