Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sio lazima uelewa saivi, hata baadae utaelewa tu, na ww screenshot vile vile

The thing is, sio muda gani wamekaa pamoja, ila je, maandalizi ya michezo yenu yatakua sawa na haya? je, wachezaj watakua na hii performance? ukumbuke, wachezaj wote walienda prove something kwamba wanastahili kuvaa uzi wa Yanga.. so naamn walijitoa 100% .. kinachosikitisha ni aina ya matokeo mliyopata, matokeo hafifu kwenye ubora wenu , mechi nyingine ambayo inaweza kua na haya maandiliz labda ni mechi vs Simba.. tofaut na hapo hakuna
Amini nakuambia ile performance ya siku ile siyo ishu hii timu inakwenda kuwa nzuri sana zaidi ya pale!
 
Hizi zako ni dhana Mtani.

Nadhani tusiandike kwa mazoea cha zaidi tusubirie ligi ikishaanza na sio kuhukumu kwamba maandalizi yaliyofanyika juzi hayaezi fanyika tena. Umejuaje?
Hiyo wala haikua yako, yako naona umeamua iruka, umeikumbia kabisa
 
Sio lazima uelewa saivi, hata baadae utaelewa tu, na ww screenshot vile vile

The thing is, sio muda gani wamekaa pamoja, ila je, maandalizi ya michezo yenu yatakua sawa na haya? je, wachezaj watakua na hii performance? ukumbuke, wachezaj wote walienda prove something kwamba wanastahili kuvaa uzi wa Yanga.. so naamn walijitoa 100% .. kinachosikitisha ni aina ya matokeo mliyopata, matokeo hafifu kwenye ubora wenu , mechi nyingine ambayo inaweza kua na haya maandiliz labda ni mechi vs Simba.. tofaut na hapo hakuna
Matokeo hafifu kivipi? Tumecheza na timu ambayo siyo underdog ulitegemea tushushe mvua ya magoli kama nyie mlichofanya kwa yule underdog? Fuatilia ile timu huko kwao usidhani ni kama Vital O wale.

Pia wale wachezaji tayari wana skills ivyo ni rahisi kwa kocha kuingiza mfumo na kueleweka. Wewe pale unaona tumefanya maandalizi makubwa ila nahisi bado hujajua kwamba kilichotokea pale ni maandalizi ya tamasha na sio mpira uliochezwa. Nakuambiaje kama unahisi ndio tumeishia pale basi bado hujaiona Yanga yenyewe. Pale hata trela bado sasa sipati picha kamili likoje.

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Mtani hii tabia ya kupiga mashabiki wa timu zingine mmeitoa wapi ?

Tukiamua kulipiza kisasi mtaweza ?

Tukiamua tunauwezo wa kuwapiga uwanjani na makofi tutawapiga vizuri tu.

Jaribuni kuwa wastaarabu huu ni mpira tu siyo uadui.
Ni nyinyi mlimpiga wa kwetu
 
Mtani hii tabia ya kupiga mashabiki wa timu zingine mmeitoa wapi ?

Tukiamua kulipiza kisasi mtaweza ?

Tukiamua tunauwezo wa kuwapiga uwanjani na makofi tutawapiga vizuri tu.

Jaribuni kuwa wastaarabu huu ni mpira tu siyo uadui.
Mtani huwa upo hapa Mjini? Unaendaga Uwanjani hasa mechi za Simba na Yanga? Yana ugeni gani hayo?

Mi ni mmoja wao Mtani na nikwambie tu hiyo haifanyiki Yanga pekee hata huko Simba ipo pia tena inafanyika sana tu, mfano itokee mtu wa Yanga halafu ni mgeni kazunguka Uwanja wee kisha kaja kuibukia upande wa 5imba yaani hapo lazima achezee kichapo na pona pona yake basi watamvua ile tishirt waichane chane hapo ndio anaeza pata salama ya kufika huko anakotaka au akishindwa basi atimue mbio kurudi alikotoka. 😂😂

Niseme tu tunahitaji kubadilika wote na sio Yanga pekee kwani kuna watu wanachukuliaga ukiwa shabiki wa Yanga basi mshabiki wa Simba tayari ni adui yako ambaye hamuezi kaa mkaongea lugha moja jambo ambalo si kweli.
 
YACOUBA SOGNE .....Rekodi yake akiwa Asante kotoko
Mechi 26
Goli 6
Assist 3
Amekabidhiwa jezi namba 10 na timu yake mpira ya Yanga.

Wananchi tumepigwa hapa tayari.
Sawa Mwl Kashasha. 😎
 
Kwakwel kijani na njano zinavutia sana, nyekundu na nyeupe tuwaachie waganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaa. 😂😂😂

Nimeona jezi zao hizi mpya ile red wanaanza kuikimbia. 🤣🤣🤣 Wameeka mrangi flani hivi wenye njano kwa mbaali. 🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Haswaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeona jezi zao hizi mpya ile red wanaanza kuikimbia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wameeka mrangi flani hivi wenye njano kwa mbaali. [emoji2089][emoji2089]
[emoji28][emoji28][emoji153]
 
Matokeo hafifu kivipi? Tumecheza na timu ambayo siyo underdog ulitegemea tushushe mvua ya magoli kama nyie mlichofanya kwa yule underdog? Fuatilia ile timu huko kwao usidhani ni kama Vital O wale.

Pia wale wachezaji tayari wana skills ivyo ni rahisi kwa kocha kuingiza mfumo na kueleweka. Wewe pale unaona tumefanya maandalizi makubwa ila nahisi bado hujajua kwamba kilichotokea pale ni maandalizi ya tamasha na sio mpira uliochezwa. Nakuambiaje kama unahisi ndio tumeishia pale basi bado hujaiona Yanga yenyewe. Pale hata trela bado sasa sipati picha kamili likoje.

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Ile timu ina point 48.. Vitalo ana point 44..

hakuna timu nyingine hapo katikat yao ..zimepishana point 4 tu

Hiyo timu ilipigwa 5-1 na Gor mahia

nyinyi mmecheza nao WAKIWA PUNGUFU kuanzia dk ya 30, mmepata matokeo hafifu , matokeo dhaifu sana , Utofaut wa Point 4 kati yao na Vitalo hauwez ifanya ikawa bora kuliko Vitalo, mmoja kasuluhu michezo 9 mwingine 8 ..mmoja kapigwa 8 mwingine 10.. ni timu zilizo kwenye daraja moja , uwezo sawa.. the thing is, walilimwa umeme na ukashindwa pata tokeo la maana tena ukiwa kwenye ubora wako, ni matokeo hafifu, dhaifu
 
Back
Top Bottom