Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Jamani mbumbumbu wanafarakana hukooo...

Kanjibai kamaindi..
Kimeanza kunuka mapemaaaa. Lol

Wasiojielewa wanamdharau na kumbeza Kigwangwala eti kisa wanachotaka wao ni kufurahi na kujisahaulisha kwamba kauliza maswali ya msingi. πŸ˜‚πŸ˜‚

#Wameuzwaaa. 🀣🀣🀣
 
Kimeanza kunuka mapemaaaa. Lol

Wasiojielewa wanamdharau na kumbeza Kigwangwala eti kisa wanachotaka wao ni kufurahi na kujisahaulisha kwamba kauliza maswali ya msingi. [emoji23][emoji23]

#Wameuzwaaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nenda Twitter chap..

Mkulungwa kigwangala anaongoza 4-1 huko,Ni mwendo wa spana tu.
 
hamna cha msingi hapo akijitoa mhindi simba haina tofauti na majimaji
 
Nenda Twitter chap..

Mkulungwa kigwangala anaongoza 4-1 huko,Ni mwendo wa spana tu.
Hahahaa. Kumbe goli zimeongezeka mana niliacha 3 - 1. Hahahahahaaaaa.

Wacha niwahi natumai sio bao la mkono. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…