kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Nasikia kaanza kutabasamu,naiona hatari inakuja kwa wapinzani!WALAU SURA IMEANZA KUONGEA KWAMBA KUNA KITU KINAINGIA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia kaanza kutabasamu,naiona hatari inakuja kwa wapinzani!WALAU SURA IMEANZA KUONGEA KWAMBA KUNA KITU KINAINGIA.
Wakimaliza mazoezi wanafua wanachezea mechi, nyani ni nyani tuHii team haijulikani jezi ya mazoezi ni ipi, ya mechi ni ipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaanza ligi huku timu ikibadilika na kuwa LADIES SPORTS CLUB!Mnyama mkali Simba sc tunaanza ligi kwa Gharika la magoli.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2020/2021
Yah! Ni vile wanaziona Points tatu watakavyozichukua kwa Prisons.Wanacheeekaaaa!!
Hivyo tunatakiwa tupewe adhabu gani Mkuu according to sheria 17 za mpira? 😎😎😎Hii team haijulikani jezi ya mazoezi ni ipi, ya mechi ni ipi
Kimeanza kunuka mapemaaaa. LolJamani mbumbumbu wanafarakana hukooo...
Kanjibai kamaindi..
Nenda Twitter chap..Kimeanza kunuka mapemaaaa. Lol
Wasiojielewa wanamdharau na kumbeza Kigwangwala eti kisa wanachotaka wao ni kufurahi na kujisahaulisha kwamba kauliza maswali ya msingi. [emoji23][emoji23]
#Wameuzwaaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hamna cha msingi hapo akijitoa mhindi simba haina tofauti na majimajiKimeanza kunuka mapemaaaa. Lol
Wasiojielewa wanamdharau na kumbeza Kigwangwala eti kisa wanachotaka wao ni kufurahi na kujisahaulisha kwamba kauliza maswali ya msingi. [emoji23][emoji23]
#Wameuzwaaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaa. Kumbe goli zimeongezeka mana niliacha 3 - 1. Hahahahahaaaaa.Nenda Twitter chap..
Mkulungwa kigwangala anaongoza 4-1 huko,Ni mwendo wa spana tu.