Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ikatokea utani utani Mbeya city akawanasa nae hapa, hiyo bye bye, ubingwa msahau.. najua hao walima miwa mmoja atawazuia tena, huwafungi wote [emoji1][emoji1][emoji1]
Hebu shindwa kwa kutuwazia negative kila masaa.
 
Hebu shindwa kwa kutuwazia negative kila masaa.
๐ง๐š๐จ๐ง๐š ๐ฃ2 ๐ฆ๐ญ๐š๐ฆ๐š๐ฅ๐ข๐ณ๐ข๐š ๐ก๐š๐ฌ๐ข๐ซ๐š ๐ณ๐จ๐ญ๐ž ๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐๐ซ๐จ๐จ ๐ข๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ฅ๐ž๐จ ๐ฆ๐›๐ž๐ฒ๐š ๐œ๐ข๐ญ๐ฒ ๐ค๐š๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐ง๐ง๐ž ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ฆ๐œ
 
Kiukweli nilifarijika sana kuona timu yetu imebadilika kabisa,tunashambulia mfululizo hadi raha, na wachezaji Wa pale mbele wanatisha. Vikirekebishwa vitu kidogo tu na kupata first eleven tutatisha sanaaa!! Hakika naona jumapili mbali sana!!
 
Tumepiga mpira mwingi sana jana. Lakini kitendo cha kumuanzisha Kaseke na Dirtram kwa pamoja halafu Niyinzima anasugua benchi ni dharau kubwa sana. Kaseke na DItram hawapaswi hata kuanza. Nafasi zao ni za kina Kisinda na Niyinzima(Carlinhos). Tunataka wachezaji creative sio wakimbiaji na wazururaji .
 
Unajua kusahau kwa haraka eee? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yaani hapo juu unamcrush mwenzio kwa alichopost haya na wewe umeleta mambo za wapi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Instagram ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Lol.

Kweli Rage hakukosea Mtani.

M
b
u
m
b
u
m
b
u


Toooba ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
 
Kiukweli nilifarijika sana kuona timu yetu imebadilika kabisa,tunashambulia mfululizo hadi raha, na wachezaji Wa pale mbele wanatisha. Vikirekebishwa vitu kidogo tu na kupata first eleven tutatisha sanaaa!! Hakika naona jumapili mbali sana!!
Aisee!! Umekuwa kama mie Bro kwani kwa sasa tunacheza vizuri mnoo timu imechangamka, inaonekana kuna kitu tunahitaji ila kama usemavyo vikirekebishwa vitu vichache tu basi tutatisha.

Ila bana hizi timu hizi si ajabu wakakaza yaani hata tukipata ushindi ukawa kiduchu.
 
Hata na mie namuona Kaseke kwa sasa hatoshi kwenye ile nafasi kwani sijui ndio ameanza kuzeeka.

Ditram anakera saa ingine kwani naye katika walio na papara anaongoza utulivu ni zero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ