Jezi za msimu uliopita zilikuwa bado zimerundikana[emoji23][emoji23], mpaka ziishe ndiyo mletewe nyingine.Mzigo dizaini umeingia kontena kama 26 hivi,haya sasa Mbumbumbu/Minyero united jiandaeni kwenda kuununua Uzi hatari Wa Wananchi mana mmeusubiria na kuuulizia kwa hamu sana na kwa muda mrefu sana! Basi mmefurahiiii!!
Hapana mkuu kuna mtu wangu Wa karibu Jana aliniambia yeye ni moja ya waliozipokea na kuzitoa pale bandarini kupitia geti no. 5. Hazijafunguliwa zilikuwa kwa kontena
Pole sana kwa maumivu unayopitiaJezi za msimu uliopita zilikuwa bado zimerundikana[emoji23][emoji23], mpaka ziishe ndiyo mletewe nyingine.
Simba ana mafanikio gan! kama kufika robo fainal Yanga nayo ilishawahi kufika, kama kuchukua vikombe mara 3 mfululizo, enzi za manji yanga ilishawah kufanya hivyo, bado sijaona kitu kipya cha kutisha kwa Simba, Timu inayokuja kasi kimafanikio hapa Tanzania ni Azam, wana uwanja wao, wanatengeneza vijana wanawauza, kwa kifupi Azam ndiyo timu bora kimaendeleo,Simba na Yanga ni timu kongwe ila kimaendeleo Azam yupo juu.HABARI
```Na Ally Mayai Tembele
Niliwahi kuandika Yanga inajidanganya yenyewe na kuishi kwa kivuli cha timu kubwa na kudhani labda dunia imesimama kumbe dunia inakimbia kwa kasi mno.
Nilisema Yanga imedumaa na Siku ikija kushtuka na kutaka kwenda sambamba na dunia itakuta tayari Simba imeliteka soko lote la Uchumi wa soka nchini.
Nilitoa mfano wa Juventus, Porto, Buyen Munich, Mazembe, Gor na Horoya kwamba timu hizi tayari zimejimilikisha Uchumi wa soka wa nchi zao. Leo hakuna mchezaji wa Kijerumani asiyetamani kuchezea Buyern. Au mchezaji anayezaliwa Italy ndoto yake kuu ni kucheza Juventus. Na tunakoelekea na Tanzania hali ndiko inakoelekea. Simba inajimilikisha kwa kasi ya ajabu uchumi wa soka.
Yanga wamebaki kujivunia juzi na jana na sio leo na kibaya zaidi sioni kesho yao.
Kama Kuna kosa kubwa kuliko yote linafanyika ni pale wanapobeza mafanikio ya Simba na kuwaponda mwekezaji wa Muhamed Dewj. Wamekuwa wakitafuta mapungufu machache yaliyopo Simba na kuyafanya ndio agenda yao. Wamesahau kabisa kuitazama timu yao na mkwamo uliopo wameamua kuitukuza Simba na kuitaja aidha kwa mapungufu au kuwabeza Kama watani. Wanasahau hapa wao wenyewe ndio wanaikuza brand ya Simba na kuifanya kutajwa mno midomoni kila siku.
Leo Yanga hawana hata Jambo Moja wanaloweza kupambana na Simba aidha ndani au nje ya Uwanja. Wamezidiwa kila udara na itawachukua muda mrefu mno kufikia Simba ilipo Sasa.
Yanga hawajakubali bado kubadilisha mfumo wao wa uendeshaji wa timu kutoka wa kizamani na wa kiholela kuja kwenye mfumo wa kisasa na hii inasababishwa na walaghai tena wezi wa jasho la wachezaji kuwahadaa ni timu ya wananchi na wasikubali mwekezaji kwa kuwa timu itakuwa si Mali yao Tena. Huu ndio uongo uliotukuka wanaoutumia walaghai kuendelea kujinufaisha kupitia klabu hii.
Embu tujiulize nyie wapenzi na mashabiki wa Yanga lini mlinunuliwa hata soda na klabu zaidi ya nyie kuchangishwa? Sasa hicho mnachoaminishwa mtakipoteza ni kipi? Wanaoogopa kupoteza ni wale akina fulani ambao maisha yao yanategemea timu kuendelea kuishi mjini. Na hawa huwa hawachangii zaidi ya kuwa mstari wa mbele kuhamasisha ili wazizungukie mlango wa nyuma wakaziibe.
Umeelewa vizuri kilichoandikwa lakini? Nakushauri, soma tena kwa umakiniSimba ana mafanikio gan! kama kufika robo fainal Yanga nayo ilishawahi kufika, kama kuchukua vikombe mara 3 mfululizo, enzi za manji yanga ilishawah kufanya hivyo, bado sijaona kitu kipya cha kutisha kwa Simba, Timu inayokuja kasi kimafanikio hapa Tanzania ni Azam, wana uwanja wao, wanatengeneza vijana wanawauza, kwa kifupi Azam ndiyo timu bora kimaendeleo,Simba na Yanga ni timu kongwe ila kimaendeleo Azam yupo juu.
umeandika kimihemko ya kishabiki haupo logical yan...Umeelewa vizuri kilichoandikwa lakini? Nakushauri, soma tena kwa umakini
duh, basi sawaumeandika kimihemko ya kishabiki haupo logical yan...
Simba ana mafanikio gan! kama kufika robo fainal Yanga nayo ilishawahi kufika, kama kuchukua vikombe mara 3 mfululizo, enzi za manji yanga ilishawah kufanya hivyo, bado sijaona kitu kipya cha kutisha kwa Simba, Timu inayokuja kasi kimafanikio hapa Tanzania ni Azam, wana uwanja wao, wanatengeneza vijana wanawauza, kwa kifupi Azam ndiyo timu bora kimaendeleo,Simba na Yanga ni timu kongwe ila kimaendeleo Azam yupo juu.
Hilo kajifanya kujisahaulisha kimakusudUmesahau kuwa mlipata nafasi ya viti maalum
TAA HIRAHii timu yetu Yanga tayari imeshajifia bado kuzikwa tu, hakuna kipya tutakacho fanya zaidi ya kuwa wasindikizaji tu.
Inauma lakini huu ndio ukweli.[emoji21][emoji21]
Duh!Hii timu yetu Yanga tayari imeshajifia bado kuzikwa tu, hakuna kipya tutakacho fanya zaidi ya kuwa wasindikizaji tu.
Inauma lakini huu ndio ukweli.[emoji21][emoji21]
Hivi Mkuu unahangaika nao hawa kabisaa?. 😂😂Simba ana mafanikio gan! kama kufika robo fainal Yanga nayo ilishawahi kufika, kama kuchukua vikombe mara 3 mfululizo, enzi za manji yanga ilishawah kufanya hivyo, bado sijaona kitu kipya cha kutisha kwa Simba, Timu inayokuja kasi kimafanikio hapa Tanzania ni Azam, wana uwanja wao, wanatengeneza vijana wanawauza, kwa kifupi Azam ndiyo timu bora kimaendeleo,Simba na Yanga ni timu kongwe ila kimaendeleo Azam yupo juu.
👏👏👏 Hizo ndo habari tunataka Bro. Yaani za uhakika mia mia.Hapana mkuu kuna mtu wangu Wa karibu Jana aliniambia yeye ni moja ya waliozipokea na kuzitoa pale bandarini kupitia geti no. 5. Hazijafunguliwa zilikuwa kwa kontena
Hahahaa. Hela wanazo sasa. 😎😎Mzigo dizaini umeingia kontena kama 26 hivi,haya sasa Mbumbumbu/Minyero united jiandaeni kwenda kuununua Uzi hatari Wa Wananchi mana mmeusubiria na kuuulizia kwa hamu sana na kwa muda mrefu sana! Basi mmefurahiiii!!
😂😂😂😂Pole sana kwa maumivu unayopitia