Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hilo li ramani la kazi gani sasa.
Hiyo ramani ya Africa ya nini sasa hapo.
Young Africans ,map inawakilisha Africa nadhani ,hongera Uzi mzuriHahahahaa!!! Badala ya hiyo ramani ulikuwa unapenda tuweke nini eti Mtani? [emoji23][emoji23]
Mtani sisi tumewapa kitengo cha ukosoaji tu. π€£π€£π€£Hiyo ramani ya Africa ya nini sasa hapo.
Hiyo ndo tunamaanisha sasa Mtani wangu huenda ana pendekezo bora zaidi. π€£π€£Young Africans ,map inawakilisha Africa nadhani ,hongera Uzi mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nimejiongeza kdg hapo ktk ramaniHiyo ndo tunamaanisha sasa Mtani wangu huenda ana pendekezo bora zaidi. [emoji1787][emoji1787]
Ahsante Mtani. Huu sio uzi wa kufua na kukuta jezi imevutika vutika.
Hakuna jipya hapo,Mlichobadilisha ni kutoa ule msalaba wa msimu uliopita na kuweka ramani.Hahahahaa!!! Badala ya hiyo ramani ulikuwa unapenda tuweke nini eti Mtani? ππ
Sasa hiyo ramani si ndio upya wenyewe. Pia tuulize sisi ambao tuna jezi za msimu uliopita ndo tutakwambia jipya kwenye hii jezi mpya.Hakuna jipya hapo,Mlichobadilisha ni kutoa ule msalaba wa msimu uliopita na kuweka ramani.
Hahahaha, dah kweli Simba na yanga wapinzaniHakuna jipya hapo,Mlichobadilisha ni kutoa ule msalaba wa msimu uliopita na kuweka ramani.
Yees!! Na hata hiyo dark hapo chini pamoja na pensi pia zimebadilika.Hahahaha nimejiongeza kdg hapo ktk ramani
.huko Uzi unaweza kuendea bank
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikia ndio wanagombania kuuziwa huu uzi kabla ya hata wananchi wenyewe!!!!HUU UZI NI BALAA JAMANI. LOL
View attachment 1566024
Mtavaa hiyo Atlas msimu huu mpaka mkome ,kilichokosekana hapo ni visiwa vya Shelisheli tu ila Madagascar ipo.Sasa hiyo ramani si ndio upya wenyewe. Pia tuulize sisi ambao tuna jezi za msimu uliopita ndo tutakwambia jipya kwenye hii jezi mpya.
Hamna kitu anaeza fanya kisha mungine akamsifia hata siku moja.
Eti visiwa. Lol Hahahahaaa.Mtavaa hiyo Atlas msimu huu mpaka mkome ,kilichokosekana hapo ni visiwa vya Shelisheli tu ila Madagascar ipo.
Ila Mtani umejua kunichekesha. Daaah.Mtavaa hiyo Atlas msimu huu mpaka mkome ,kilichokosekana hapo ni visiwa vya Shelisheli tu ila Madagascar ipo.
Kwenye hiyo Atlas imekosekana mbuga za wanyama tu na Nyani tungewaona hapo.Eti visiwa. Lol Hahahahaaa.
Vipo kwa nyuma hapo. πππ
Yaani!! Ila hiyo ndo tafsiri ya timu ya Wananchi Mkuu yaani timu inapendwa na wote.Mikia ndio wanagombania kuuziwa huu uzi kabla ya hata wananchi wenyewe!!!!
Kwa mwendo huu hazitafika mikoani. Labda mzigo ujao
UZI WETU MPYA ππ
tumuweke GonzalezπlabdaHahahahaa!!! Badala ya hiyo ramani ulikuwa unapenda tuweke nini eti Mtani? ππ