Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hilo li ramani la kazi gani sasa.
Hiyo ramani ya Africa ya nini sasa hapo.
Young Africans ,map inawakilisha Africa nadhani ,hongera Uzi mzuriHahahahaa!!! Badala ya hiyo ramani ulikuwa unapenda tuweke nini eti Mtani? [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app