Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahaha, dah kweli Simba na yanga wapinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu anaeza fanya kisha mungine akamsifia hata siku moja.

-Tulikuwa na banda sabasaba this year waliponda mbaya badala ya kutusifia.
-Tumefungua duka la vifaa vya Yanga pale pale Jangwani petu bado wanakosoa pia.

Ila kama usemavyo ndo Utani wa jadi huo Mtani.
 
Wanafunzi wakifeli somo la Geography ni uzembe wao sasa wameletewa Atlas ya bure.
 
ILA MAISHA HAYA JAMANI LOL 🤔🤔
20200911_115840.jpg

JEZI NAMBA MOJA BADO HATUJAIFUA HAPO. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom