Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yule ni mchezaji wa uwanja wa mkapa tu,halafu kaa ukijua kishakalia lile kochi jeupe,mjipange hasa mikia
 
Sasa mnakubali vipi mwenzenu achukue 38,700.
Nyie mbaki na 1,300?[emoji16][emoji16][emoji16].
Lile nyomi la pale jangwani siku ya kutambulisha jezi tulijua hela mmachukua nyie kumbe mnamuuzia mwenzenu.
kweli kuwa uyaone.
KELELE NYINGI KUMBE ZERO
Hivi Mtani ujue inashangaza sana hivi mumekosa vya kupost vya Simba ambavyo vinamanufaa kwa timu yenu kweli? [emoji848][emoji848][emoji848]

Tembelea page ya Yanga kama utaona kuna story ka hizi. Lol.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Elimu inahitajika zaidi Mtani ili kubadilika na kujua matumizi ya kurasa za mitandao ya kijamii hasa za Klabu.

Na hayo ni ya Yanga waachieni Yanga wenyewe. Teh
 
Tutakapowachakazza tarehe 18 ndio itakuwa mwisho wa hizi kauli.
Ni hatari sana kujipa matumaini hewa Shadeeya, maana litakapowapata la kuwapata pale kwa Mkapa mtaona kama mmeonewa vilee.

Niko chini ya miguu yako mamii nakusihi sana ondoa mawazo ya hata kwamba mtalazimisha sare! Jiandae kisaikolojia kua mnachezea kichapo na kwasasa hadi siku hiyo mtafute mbinu za kupunguza idadi ya magoli mtayo bebeshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…