Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo pesa mama,mikia wakitoka kuvuruga mechi yao inayofuata watatumia kila hila washinde wawapoze mbu3 waoNimekaa na kuwaza Shem hivi African Lyon ni bora kuliko Biashara eee?
Hivi Mtani ujue inashangaza sana hivi mumekosa vya kupost vya Simba ambavyo vinamanufaa kwa timu yenu kweli? 🤔🤔🤔Jezi inauzwa 40,000.
Nyanga fc wanapata sh 1,300.
☻☻☻View attachment 1580062
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Yule ni mchezaji wa uwanja wa mkapa tu,halafu kaa ukijua kishakalia lile kochi jeupe,mjipange hasa mikiaNyinyi woote ni wahanga wa huyu mtu, hamto msahau kamwe,
Nkana, goli la kisigino tukaingia Champions league group stage
AS VITA, goli dakika za mwsho tukaingia Robo final
Nyie juz tu hapo, goli la Fraga katengeneza na kawapiga pia goli la pili
Kwasababu hakuigusa Mtibwa, basi mtibwa ni kubwa kuliko nyie, manake mnasema mchezaj wa mechi ndogo
Hivi Mtani ujue inashangaza sana hivi mumekosa vya kupost vya Simba ambavyo vinamanufaa kwa timu yenu kweli? [emoji848][emoji848][emoji848]
Tembelea page ya Yanga kama utaona kuna story ka hizi. Lol.
Kazi ipo Swahiba.Tigo pesa mama,mikia wakitoka kuvuruga mechi yao inayofuata watatumia kila hila washinde wawapoze mbu3 wao
Elimu inahitajika zaidi Mtani ili kubadilika na kujua matumizi ya kurasa za mitandao ya kijamii hasa za Klabu.Sasa mnakubali vipi mwenzenu achukue 38,700.
Nyie mbaki na 1,300?[emoji16][emoji16][emoji16].
Lile nyomi la pale jangwani siku ya kutambulisha jezi tulijua hela mmachukua nyie kumbe mnamuuzia mwenzenu.
kweli kuwa uyaone.
KELELE NYINGI KUMBE ZERO
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kazi ipo Jangwani Shadeeya, ushindi wenyewe wa mbinde wa kagoli kamoja kamoja tena hadi kwa mbeleko ya refa🙆♂️🙆♂️🙆♂️Kazi ipo Swahiba.
Elimu inahitajika zaidi Mtani ili kubadilika na kujua matumizi ya kurasa za mitandao ya kijamii hasa za Klabu.
Na hayo ni ya Yanga waachieni Yanga wenyewe. Teh
Baelezee, baambie hao bataelewwaIla bilioni 20 za moo ni mambo ya yanga?[emoji16][emoji16][emoji16].mnaona kwetu tu.
Ila kwenu kimyaaa
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ziliongelewa kwenye Official Page ya Yanga?Ila bilioni 20 za moo ni mambo ya yanga?[emoji16][emoji16][emoji16].mnaona kwetu tu.
Ila kwenu kimyaaa
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Tutakapowachakazza tarehe 18 ndio itakuwa mwisho wa hizi kauli.Kazi ipo Jangwani Shadeeya, ushindi wenyewe wa mbinde wa kagoli kamoja kamoja tena hadi kwa mbeleko ya refa🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ziliongelewa kwenye ukurasa wa Yanga?
Hiyo mechi itakuwa ndio mwanzo wa kazi ya Mwambusi kama kocha mkuu.Tutakapowachakazza tarehe 18 ndio itakuwa mwisho wa hizi kauli.
Ni hatari sana kujipa matumaini hewa Shadeeya, maana litakapowapata la kuwapata pale kwa Mkapa mtaona kama mmeonewa vilee.Tutakapowachakazza tarehe 18 ndio itakuwa mwisho wa hizi kauli.