Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Doooh!!
 
Hivi Mtani ujue inashangaza sana hivi mumekosa vya kupost vya Simba ambavyo vinamanufaa kwa timu yenu kweli? [emoji848][emoji848][emoji848]

Tembelea page ya Yanga kama utaona kuna story ka hizi. Lol.
Kwani ww umeiona hiyo page kwenye habari ya Simba??

Hakuna club inayoendesha page yake vyema kama Simba sport club kwa ukanda wetu huu, mwezi huu wa nane tumeshika namba moja bara la Africa kwa kua page yenye iliyotembelewa zaid ya mashabik, hii kwenu ni ndoto ambayo huenda isitimie kamwe

hiyo ni page ya digidigi mmoja tu sio page ya Simba
 
Elimu inahitajika zaidi Mtani ili kubadilika na kujua matumizi ya kurasa za mitandao ya kijamii hasa za Klabu.

Na hayo ni ya Yanga waachieni Yanga wenyewe. Teh
Ww ndio unahitaj elimu ya kuweza tofautisha ipi page ya club ipi page ya shabiki
 
Halafu nikwambie tu sinaga muda wa kufuatilia hizo page zenu mi nilivyoona imeandikwa Simba Tanzania nikajua ndo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…