Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hiyo sio official page ya Simba, page yao iko verified. Tuachane na hao mikia, tujadili tutamuuaje Mtibwa apo jumapili
Kweli usemalo Mkuu hapa tunamshukuru Allah kikosi kimefika salama.

Kazi iliyobaki ni moja tu kuutafuna muwa.
 
Wiki hii tukishinda lazima tuwe nafasi ya kwanza ama ya pili maana wapinzani wetu wenye point 7 ni Simba, Dodoma mji na Azam. Azam Yuko Mbeya anacheza na Prisons naamini hii match ni sare na Dodoma mji anacheza na Polisi Tanzania na namiini Dodoma mji anafungwa Ila Simba atashinda. Hivi tutafungana na Simba Kwa point atakua wa kwanza sie wa pili na tutamtoa siku tutapokutana tutakwaa kileleni
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Washabiki wa hii timu bwana dah
 
Kweli tupambane mana mechi na Mtibwa huaga ngumu sana. Kocha apange kikosi kuzuri, sina wasiwasi na upande wa mabeki Ila Niyonzima na Farid ni muhimu kuanza.
Huwa nashangaa siku hizi Niyonzima asivyoanzishwa wakati kama mechi na Kagera alipoingia ndo timu ikachangamka.
 
Hahahahaaa. Niliwahi kumdhania pia ila naonaga anaongelea timu za Kongo tu.

Mtani mtu chake hebu tuweke wazi leo.
Sio Lunyasi mkereketwa huyu?
Huyu Mkongo huwa hana timu ujue. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Labda As Vita au TP Mazembe mana ndio anazijua kindakindaki na ndio namuonaga anahadithiaga.
Hahahaha, Rafiki zangu Mimi MTU wa mpira tu , Simba ile ya FoS na Friends of Yanga ,nilikua na Rafiki zangu wengi humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…