Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli usemalo Mkuu hapa tunamshukuru Allah kikosi kimefika salama.Hiyo sio official page ya Simba, page yao iko verified. Tuachane na hao mikia, tujadili tutamuuaje Mtibwa apo jumapili
Sasa tulipofungwa na As Vita na TP Mazembe alishangilia?Hahahahaaa. Niliwahi kumdhania pia ila naonaga anaongelea timu za Kongo tu.
Mtani mtu chake hebu tuweke wazi leo.
Kweli tupambane mana mechi na Mtibwa huaga ngumu sana. Kocha apange kikosi kuzuri, sina wasiwasi na upande wa mabeki Ila Niyonzima na Farid ni muhimu kuanza.Kweli usemalo Mkuu hapa tunamshukuru Allah kikosi kimefika salama.
Kazi iliyobaki ni moja tu kuutafuna muwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Washabiki wa hii timu bwana dahWiki hii tukishinda lazima tuwe nafasi ya kwanza ama ya pili maana wapinzani wetu wenye point 7 ni Simba, Dodoma mji na Azam. Azam Yuko Mbeya anacheza na Prisons naamini hii match ni sare na Dodoma mji anacheza na Polisi Tanzania na namiini Dodoma mji anafungwa Ila Simba atashinda. Hivi tutafungana na Simba Kwa point atakua wa kwanza sie wa pili na tutamtoa siku tutapokutana tutakwaa kileleni
Sijui hata kwa kweli Ses.Sasa tulipofungwa na As Vita na TP Mazembe alishangilia?
Huwa nashangaa siku hizi Niyonzima asivyoanzishwa wakati kama mechi na Kagera alipoingia ndo timu ikachangamka.Kweli tupambane mana mechi na Mtibwa huaga ngumu sana. Kocha apange kikosi kuzuri, sina wasiwasi na upande wa mabeki Ila Niyonzima na Farid ni muhimu kuanza.
Ulipenda aandikeje kwani Ntani ndo akukoshe nafsi? 🤔🤔🤔[emoji23][emoji23][emoji23]Washabiki wa hii timu bwana dah
HahahahaHuyu Mkongo huwa hana timu ujue. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda As Vita au TP Mazembe mana ndio anazijua kindakindaki na ndio namuonaga anahadithiaga.
Hahahahaaa. Niliwahi kumdhania pia ila naonaga anaongelea timu za Kongo tu.
Mtani mtu chake hebu tuweke wazi leo.
Sio Lunyasi mkereketwa huyu?
Hahahaha, Rafiki zangu Mimi MTU wa mpira tu , Simba ile ya FoS na Friends of Yanga ,nilikua na Rafiki zangu wengi humoHuyu Mkongo huwa hana timu ujue. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda As Vita au TP Mazembe mana ndio anazijua kindakindaki na ndio namuonaga anahadithiaga.
Ohoooo!!!Hahahaha, Rafiki zangu Mimi MTU wa mpira tu , Simba ile ya FoS na Friends of Yanga ,nilikua na Rafiki zangu wengi humo