Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Daah!! Kunijumuisha humo ni sawa na kunionea ujue?

Mapato hayo kwa watu watano sijui sita? [emoji15] wangekuwa kilichowapeleka ni kuongeza mapato wangetulizana pale walipokuwa wamekaa mwanzo na sio kuhangaika kama wafanyabiashara.
Ukimsikiliza yule roporopo wao. Mzungu wa buza utagundua nia ya wale mashabiki. Wanaingia kwenye mechi za Yanga,wanakaa katikati yao. Kisha wanaanza kuwakashfu wananchi ili kuwaudhi na mwisho wafanyiwe fujo. Lengo ni hili alilolitaja Manara kuomba Yanga icheze bila mashabiki. Hii ni hujuma
 
Siku zoote avaae suit au nguo yoyote ya thamani hutamani dunia yoote imuone wala hana hofu..
Lakini unapovaa nguo mbovu au isiyo na thamani hua unaomba usikutane na watu wanaokuthamini au mnao heshimiana..
Yanga kwa sasa wanacheza mpira mbovu mnoo usiyo na kiwango na ukilinganisha jinsi walivyojinasibu kwamba wamesajili wachezaji wenye viwango wanahisi kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Kwa mantiki hiyo huhofia Simba kuja uwanjani watawazomea..
Tukumbuke mifano iliyo hai..
Wakati Yanga wako kwenye kiwango bora walikua wanadiriki kuingiza watazamaji bure bila viingilio..
Na hawakubagua watazamaji Simba wala Azam..
Licha ya kua walikua vyema kiuchumi lakini pia walikua na kiwango cha kuridhisha.
Kwa sasa Simba anatamani dunia nzima ione kiwango chao ..
Lakini Yanga wana suruwali yenye viraka makalioni hawatamani kuonekana hadharani[emoji1787][emoji1787]
 
Duuh!! Kazi ipo Mkuu ila kwa kuwa Tiefuefu ni ya kwao wacha tuone mwisho wa hii ni nini.
 
🤔🤔🤔🤔
 
Ila inachekesha sana aisee yaani watu magari kwa magari wanajiondoa DSM kwenda Moro eti kisa tu kwenda kuizomea Yanga hivi Ses si UZUZU huo?

Nadhani na nyie mujitathimini pia.

#Hii yote ni kuitoa Yanga kwenye reli baada ya kuona this season kutakuwa na mtifuano mkali.
 
Afisa habari wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli, amesema klabu ya Simba inatakiwa pia iwakemee mashabiki wake pale wanapoenda kutazama mechi za Yanga wasiende kwa lengo la kuwakera na kuwakejeli mashabiki wa Yanga kwa sababu kejeli siku zote hazivumiliki lazima mtu atapaniki.

Bumbuli amesema pia klabu ya Simba inatakiwa pia iwakemee mashabiki wake kuachana na kauli za kusema wanaenda kuangalia mechi za Yanga kwa lengo la kuhakikisha Yanga inafungwa huo unakuwa ni uvunjifu wa amani, kwa sababu hata mtu anapokuja kwako na kukuambia atahakikisha wewe haulali vyema na familia yako hautomchukulia vizuri sababu atakuwa na Nia mbaya na familia yako.
 
Aombe radhi kwanza, aache janjajanja
 
Mnapenda kuabudiwa eee?
Wasukuma wakipiga yowe wanasema "maaaayooooo"!!!!. Kuomba radhi pia kwenu ni shida!?

Sasa Chura wenyewe wameitangaza mechi na kujinasibu wana kikosi cha ushindi chenye wachezaji wa kimataifa kama walivyokua kina Yikpe, watu (Lunyasi) wameitikia kwa wingi kuja uwanjani ili kwanza wawaletee mijihela na pili waone burudani. Lakini badala ya kuona soka zuri wanaona butua butua. Mkichekwa inakua nongwa!!!! Sijawahi kuwaelewa Wananchi
 
Kikubwa Waambieni hao mashabiki wenu watulizane tu hizi blah blah hazina maana.
 
Kikubwa Waambieni hao mashabiki wenu watulizane tu hizi blah blah hazina maana.
Hujambo lakini Shadeeya? Bilashaka tarehe 18 panapo majaaliwa mtaleta kikosi kamili ili kusiwe na sababu kwamba Kalinyo alikua anaumwa, sijui Sapongo kaitwa na wakwe zake!😀
 
Mashabiki, Wanachama na Wapenzi wetu wa Young Africans Sc nyinyi ni watu muhimu kwenye maendeleo ya klabu yetu, tuendelee kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu yetu.

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

@Yangasc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…