Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kuna jamaa anashauri hapa kuwa nyie yanga mtaarifuni mapema kocha wenu mpya kuwa anayekuja asije na mabegi
 
Hamna nafasi katika kutushauri Ses.

"DaimaMbeleNyumaMwiko

Wazo zuri sana hili
 
Tukisemaga Tiefuefu yakwao wanakataa.

Juzi tu ropo ropo wao alisema tarehe zinazoangukia na nane hizo ni lazima wapate kichapo sasa huenda Baba alisikia ndio maana akaamua kufanya waliyoyafanya.
Tifuatifua kwakuwabeba mikia!!!
Ndio nini sasa kuahirisha mechi yetu ya October 18?
Ila kipigo kwa mikia kipo pale pale

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
In
Tukisemaga Tiefuefu yakwao wanakataa.

Juzi tu ropo ropo wao alisema tarehe zinazoangukia na nane hizo ni lazima wapate kichapo sasa huenda Baba alisikia ndio maana akaamua kufanya waliyoyafanya.
Tumependa huko kuahirishwa ili kocha mpya mtakae mleta apate muda mzuuri wa kuisuka tumu yenu. Hatutaki kisingizio chochote kwamba "oooh, sisi kocha wetu hakuwa na muda wa kutosha kuiandaa timu"..... tunataka kuwafunga mkiwa na kikosi kilichotimia na mwalimu wa uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…